Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu aliyepata red card ndio ametuletea matatizo.Dakika 2 mfululizo zikaingia goli mbili.
 
Celtic walishinda ushindi mzuri sana, aliyenishangaza na Barcelona kibaya zaidi ameongoza goli 2-0 mpaka dakika ya 83.
Mimi ningekuwa kocha ,,, kwenye timu yangu wachezaji wapaka poda, wasuka nywele na ma modo,,, naondoa zote takataka
Kounde ni msenge sana, wala red card haikuwa tatizo,, ila ndo hivyo

Baka anaongoza mbili ,, alafu unaletewa cash out dk iko ya 80 ,,,, unamcheka kanji kuwa kayakanyaga

Mara paa Kounde anatoa boko, mara paa jamaa wamerudi mchezoni na WA moto balaa

Dakika ya pili baada ya goli la kwanza Ngoma 2:2 ,,,, k***mae
 
Aiseeeee

Barca hadi 82 anaongoza 2
Dakika ya 84 anapata red card
Dakika za 84 na 86 Alves wanachomoa bao zote mbili
BET LOST
Yani nilichungulia dakika ya 68 nikakuta anaongoza nikalala naamka nashangaa lost dah
 
Wazee naombeni ushauri,nafikiria kuweka direct win kwa Liverpool,Madrid,na ajax
 
Aisee Jana Leipzig asingezingua nilikua nampapasa mhindi 12.3m.!! Ndo naamka apa naangalia mkeka nakuta kazingua yeye tu tena double chance..!!!!!! Kuna mwingine Fulham pekee ndo kazingua alikua anapasuka 7.3m nayeye nilimpa double chance.


Mganga wa kanji sio tapeli wakuu, tukutane wiki ijayo maana mechi za leo zimekaa kimtego sana
 
Nenda kwa mwamposa hilo ndio suluhisho kanjibai ataombaa poo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…