tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Hapo kwa Napoli tuombe MunguMaombi kwenu wazee wenzangu kwenye treni langu nimebakisha Man united,Napoli,na madrid wote direct win
Hapo kwa Napoli tuombe MunguMaombi kwenu wazee wenzangu kwenye treni langu nimebakisha Man united,Napoli,na madrid wote direct win
Waitaliano sio watu kabisaHapo kwa Napoli tuombe Mungu
Mimi mwenyewe wasi wasi wangu ni kwa huyo napoliWaitaliano sio watu kabisa
KabisaMan u anataka kuharibu shughuli
Man u nakuuaKuna mkeka nimeuweka kiuoga nimetia 50k odds 11
Timu 4 nilizozipa dabo chance zote zimeshinda hapa namsubifi man u na madrid direct win na paok dabo chance
Kweli uoga wako ndio umaskini wako🤣🤣🤣🤣
AnashindaMimi mwenyewe wasi wasi wangu ni kwa huyo napoli
Na watoto wanampelekea motoMan u anataka kuharibu weekend
Huyu man uuuuu anaweza kutulaza na viatuYani man u na Madrid washinde wanipe hela
Kuna dalili ya kushinda kwa nyie mnaoangalia mechiHuyu man uuuuu anaweza kutulaza na viatu
Yaani si shetani si Mungu wote wamegoma kutenda muujizaView attachment 3160611