Hii imeshatoa mbonaWakuu hapa hivi nitoe ,huyu nice simuaminiView attachment 3160669
Mimi na Manyumbu tena Basi.
Mattercore yake pimbi huyo.!!!Hii mechi kocha kaingia kichwa kichwa ni mngese sana.
Mfumo wa 3:4:2:1 kwa wachezaji gani?!
Kule Cp alikuwa akipafomu kutokana na aina ya wachezaji alikokuwa nao wananyumbulika ila hapa atahitaji mda, united hii ili wachezaji wajione huru ni 4:2:3:1 utawaona wanavyojiamini maana ni wavivu wachezaji, Bruno anakuwa kati maana ni kachezaji kazuri ila kavivu na huu mfumo utaona uwepo wake wa kugawa mpira,,,
Kocha katuua jana, na inabidi awakomalie mazoezini wabadilike haswa, jana mara mia angecheza 4:4:2 mbwa yule
Umemponza mwenzako huko, kashikiliwa baada ya kuagiza juice ya tende na man u, kafanya yakeMpe man u mpe
Madrid
Paok Dc
Kisha agiza juice
Kazingua sana, angeacha van kwa mechi ya jana apange takataka zake wangeibuka na ushindiMattercore yake pimbi huyo.!!!
Ndio master nishapata supu tayariHii imeshatoa mbona
Ishainikuta hii issue ,kuna siku sportybet wamenipa ofa ya sh 100 free bet, nikaweka mkeka hovyo hovyo team 8 odds 13,Haya ile 305tsh niliyocash jana nikasema ngoja nibonyeze game nane zote niweke home win kisha nilale ili account isome tu 0, nashangaa naamka ile hasara ya jana imerecoverView attachment 3160803
Siku hizi kuna watoto wa HovyoWatu wa matreni fanyeni jambo basi
hii inakuwaga ajabu kweli yaani siku upo serious umejikoki full uchambuzi data za timu kisha unatupia na stake nzito ajabu mechi ya kwanza tu unakula mkasi...ila unaweka mkeka ovyo ovyo tena ukiwa umefumba macho ile potelea mbali hujali wala nini huna matumaini na umestake kihela mbuzi tu ila maajabu sasa keka linatick kweli betting haitaki uwe seriousIshainikuta hii issue ,kuna siku sportybet wamenipa ofa ya sh 100 free bet, nikaweka mkeka hovyo hovyo team 8 odds 13,
Nakuja kucheki team zote zimetiki nikala 1200s
Tunasubiri kakaSiku hizi kuna watoto wa Hovyo
Wanapiga Mawe SGR Train kupima Kasi yake
Ila wamekamatwa,Ngoja tusuke SGR tuone kama zitapita Salama