Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

🤣🤣🤣, mkuu manyumbu imekuwaje tena , ila nimecheka sanaa🤣🙌🏻
Mkuu huwezi amini huu mkeka wa sh 200 nilikua naenda kula pesa ndefu sana, nilizipa izo nyumbu zishinde kipindi chochote tu lakini zimedebweda!!

Nilijua kile kimoko cha harakaharaka walichotia kipindi cha kwanza kingeweza kudumu walau kipindi kizima lakini holaa zikashindwa kubana mattercore mpaka wanakuja chomolewa dk 2 kabla ya mapumziko, kipindi cha pili walikua wanatikisa vishundu tu... wtf..!!!!!!!!

Screenshot_20241124-183149.png

Kati ya timu 30 zimekuja kuchana zenyewe

Jana Leipzig pia kachana mwenyewe kati ya
timu 25.!!!

IMG-20241124-WA0065.jpg

IMG-20241124-WA0064.jpg

IMG-20241124-WA0063.jpg

Kumaanisha nini.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu huwezi amini huu mkeka wa sh 200 nilikua naenda kula pesa ndefu sana, nilizipa izo nyumbu zishinde kipindi chochote tu lakini zimedebweda!!

Nilijua kile kimoko cha harakaharaka walichotia kipindi cha kwanza kingeweza kudumu walau kipindi kizima lakini holaa zikashindwa kubana mattercore mpaka wanakuja chomolewa dk 2 kabla ya mapumziko, kipindi cha pili walikua wanatikisa vishundu tu... wtf..!!!!!!!!

View attachment 3160621

Kati ya timu 30 zimekuja kuchana zenyewe
Jana Leipzig pia kachana mwenyewe kati ya timu 25.!!!

Kumaanisha nini.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Daah hongera lakini mkuu, ulicashout ngapi
 
Hahahahaaa yaani hawa Mbwa wangejua wanavyotulaza na viatu, ila mimi Barca alichofanya jana ni zaidi unyama!!🙌🏻 Huwezi kushindwa kubana t*ko dakika zile chache wangekaa hata basi wote 10 golini wazuie!!
 
Ungetumia betpawa 2up ingekuokoa mm nilala na viatu kumbe mbl 2up umefanya Ile ktu kuamka nakuta acc inasoma
 
Dah man u ishabaki jina tu hakuna wachezaji......keka langu limenyoka vizuri ila manyumbu fc wameamua nisipate hiyo hela
 
Mimi na Manyumbu tena Basi.

Hii mechi kocha kaingia kichwa kichwa ni mngese sana.
Mfumo wa 3:4:2:1 kwa wachezaji gani pale united?!
Kule Cp alikuwa akipafomu kutokana na aina ya wachezaji alikokuwa nao wananyumbulika ila hapa atahitaji mda, united hii ili wachezaji wajione huru ni 4:2:3:1 utawaona wanavyojiamini maana ni wavivu wachezaji, Bruno anakuwa kati maana ni kachezaji kazuri ila kavivu na huu mfumo utaona uwepo wake wa kugawa mpira,,,
Kocha katuua jana, na inabidi awakomalie mazoezini wabadilike haswa, jana mara mia angecheza 4:4:2 mbwa yule
 
Hii mechi kocha kaingia kichwa kichwa ni mngese sana.
Mfumo wa 3:4:2:1 kwa wachezaji gani?!
Kule Cp alikuwa akipafomu kutokana na aina ya wachezaji alikokuwa nao wananyumbulika ila hapa atahitaji mda, united hii ili wachezaji wajione huru ni 4:2:3:1 utawaona wanavyojiamini maana ni wavivu wachezaji, Bruno anakuwa kati maana ni kachezaji kazuri ila kavivu na huu mfumo utaona uwepo wake wa kugawa mpira,,,
Kocha katuua jana, na inabidi awakomalie mazoezini wabadilike haswa, jana mara mia angecheza 4:4:2 mbwa yule
Mattercore yake pimbi huyo.!!!
 
Haya ile 305tsh niliyocash jana nikasema ngoja nibonyeze game nane zote niweke home win kisha nilale ili account isome tu 0, nashangaa naamka ile hasara ya jana imerecoverView attachment 3160803
Ishainikuta hii issue ,kuna siku sportybet wamenipa ofa ya sh 100 free bet, nikaweka mkeka hovyo hovyo team 8 odds 13,

Nakuja kucheki team zote zimetiki nikala 1200s
 
Back
Top Bottom