Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu vipi Ahly anaweza kupata goli mbili nyumbani leo?
Vipi Mamelod ataweza kumfunga mkongo maniema
Vipi Pyramid atatoboa kwa Muangola?
 
Mkuu huu mkeka unavutia sana
Kwa mtazamo wangu hapo changamoto ni wingi wa game tu..... possibility ya game angalau moja kuzingua inakua kubwa

All the best
Nimemuondoa Mamelodi naona machale yangu yanmkataa

Ni kweli mara nyingi wingi wa game ni chamgamoto ndio maana nimeepuka kwenda na direct win kwa wakubwa wengi
 
Sportybet


Corners ONLY

πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅


74893F


πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…