Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Mkuu hii pesa jiandae kwenda kwa wakala.
Wapo vizur hao wanacheza na vibondeWakuu vipi Ahly anaweza kupata goli mbili nyumbani leo?
Vipi Mamelod ataweza kumfunga mkongo maniema
Vipi Pyramid atatoboa kwa Muangola?
Tambaa humuNaona leo kuchwele
Wakuu naomba mtu anisaidie odd 2 tuu zenye uhakika wa 90% to 100% kutoboa nina shida na pesa na muhindi inabidi anichangie tuu leo
14 games 6 odds.?
Ohoooo,ushamponza mwenzio na alistek high.