Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Umejitahid sana ila mwsho wamekupata
Aiseee,wewe unabet kweliDhaa hapa City kanikoseha milioni
Huu muhindi kakalia dole ela nzuri kabisa
Hapa napo muhindi kakalia dole ela nzuri
Hapa litimu lenu la wananchi limeshindwa hata ku draw tu limenikosesha milion 4 mama
Anyway kesho nayo nisuku wacha tulale sasa hahaja😉😁😁
Don't get it personal mkuu watu tumejaa stress humu. But it isn't worth risking over 50k kwa odds ya 1.0.!! No no no noMkuu Sijui kwa nini uliniita Stupid
Ikiwa hukuupenda huu mkeka ungepita tu kama hukuuona kila mmoja ana njia zake za kubet mimi napenda kustake high kwa option ambazo ni 99% zitawin
Wale wote ambao waliufata huu mkeka na wakafanya marekebisho ya kumuondoa Mamelod kama nilivyoshauri wanacheka muda huu
Any way tukosoane kwa stara badala ya kutukanana
Hongera kwa hio nyingine ila man city daaahWaseenge sana nimekosa milioni ila nimesinda ingie
Nilimuondoa Mamelod machale yalichezaUmejitahid sana ila mwsho wamekupata
Leta na wa leoNilimuondoa Mamelod machale yalicheza
Hii biashara ni nzito aseekatika siku betting imeniumiza ni jana kumamae,naingalia cash out ya laki770,..win ilikua 850..apo atlanta nlokua nahofia sana game yake anaongoza 4,barca 2 ,liverkusern 3,man city 3..dah mara goli za mancity zikaanza kurudi kumamae..zilipofika mbili uku liberkusern kampiga mtu 5 cash out imefungwa,nainaglia ela inapotea ile
zingeongezwa dk 5 zaidi city alikua anakufa jana!katika siku betting imeniumiza ni jana kumamae,naingalia cash out ya laki770,..win ilikua 850..apo atlanta nlokua nahofia sana game yake anaongoza 4,barca 2 ,liverkusern 3,man city 3..dah mara goli za mancity zikaanza kurudi kumamae..zilipofika mbili uku liberkusern kampiga mtu 5 cash out imefungwa,nainaglia ela inapotea ile
acha t mkuu betting ,af unamsikia msenge anasema vijana tunapenda pesa rahisi tunabet...zingeongezwa dk 5 zaidi city alikua anakufa jana!
comeback ya kibabe ilipigwa
sasa mkuu cashout 770k total win 850k tofauti ya 80k una hasara gani mkuu uwe unaridhikakatika siku betting imeniumiza ni jana kumamae,naingalia cash out ya laki770,..win ilikua 850..apo atlanta nlokua nahofia sana game yake anaongoza 4,barca 2 ,liverkusern 3,man city 3..dah mara goli za mancity zikaanza kurudi kumamae..zilipofika mbili uku liberkusern kampiga mtu 5 cash out imefungwa,nainaglia ela inapotea ile
Daaaah we acha tu mkuu, kuna mwamba aliwahi kusema huko nyuma ukiona mhindi amekupa cashout usijiulize mara mbili chukua chapukatika siku betting imeniumiza ni jana kumamae,naingalia cash out ya laki770,..win ilikua 850..apo atlanta nlokua nahofia sana game yake anaongoza 4,barca 2 ,liverkusern 3,man city 3..dah mara goli za mancity zikaanza kurudi kumamae..zilipofika mbili uku liberkusern kampiga mtu 5 cash out imefungwa,nainaglia ela inapotea ile
mkuu acha tu..game nlokua nawas was nayo ya atlanta anongoza nne,city ilikua tia maji ngoma 3..noana kabsa apa akuna uchawi tena nisuburi ela tu.sasa mkuu cashout 770k total win 850k tofauti ya 80k una hasara gani mkuu uwe unaridhik
kazi ywtu ngumu sanaDaaaah we acha tu mkuu, kuna mwamba aliwahi kusema huko nyuma ukiona mhindi amekupa cashout usijiulize mara mbili chukua chapu
Ungetoa tuu mkuu yaan ukiona kweny betting umepata faida hata 30% shusha mzigo kaka sasa ulikuwa na hasara ya 80k kwan na stake yako hata kam ingekuw ni 100k shusha tu using'ang'anie kulipa loss ya nyumamkuu acha tu..game nlokua nawas was nayo ya atlanta anongoza nne,city ilikua tia maji ngoma 3..noana kabsa apa akuna uchawi tena nisuburi ela tu.
nimejifunza kitu kikubwa jana,nilikua nataka nicash out city anaingia kipind cha pili kapiga mbili fasta,Ungetoa tuu mkuu yaan ukiona kweny betting umepata faida hata 30% shusha mzigo kaka sasa ulikuwa na hasara ya 80k kwan na stake yako hata kam ingekuw ni 100k shusha tu using'ang'anie kulipa loss ya nyuma
We noma Hongera sana umempiga parefu😁Dhaa hapa City kanikoseha milioni
Huu muhindi kakalia dole ela nzuri kabisa
Hapa napo muhindi kakalia dole ela nzuri
Hapa litimu lenu la wananchi limeshindwa hata ku draw tu limenikosesha milion 4 mama
Anyway kesho nayo nisuku wacha tulale sasa hahaja😉😁😁