Sport Betkampuni gani?
π€£ππ€£ Girona na Celtic leo kama siwaelewiMachale yanakuchezea wapi leo
lakini mkuu si umeona mkeka wake umetick laki 4 akitoa elfu 90 yake aliyostake faida laki tatu. isikutishe hata akipoteza hana hasara kwani hizo stake walishinda kabla mfano hio laki 4 aliyoshinda hapa kwa ile stake ya 90 elfu anairudisha tena kustake tena 90 kwani mara moja kujilipua sio mbaya kwani bahati zipo tu...vp ww jana ulishinda pesa ngapi.?Mkuu stupid ni neno la kawaida sana kwa sisi wanaume, humu watu tuna stress za kuchaniwa mikeka na timu mojamoja kama Manyumbu na Leipzig so tusameheane kama hujazoea lugha kama izo. Don't get it personal
Lakini bado sikubaliani nawewe kuhusu kutengeneza odds kichuguu kwa kutumia milima ya mechi, it isn't worth risking. Unarisk hadi kwenye odds ya 1.0? Seriously?
Anyway, best of wishes
Sio lazima leo tu mpka weekend.Wazee nimedeposit 250k. Naombeni odds 23+
Betpawa, SportybetWazee nimedeposit 250k. Naombeni odds 23+
SportybetBetpawa, Sportybet
23 odds only. Return itakua over 5m. Someone help sina uzoefu sana. If I win will offer a stake of 100k.Sportybet
Hapo kwa aston vila pana ukakasi kidgo, juve sio wanyonge, option nzr nadhan ni 1.5.Comrades... Try this.
Sportybet.
Ifanyie weekend mkuu au wajuzi ngoja wajeSportybet
Check hii, 8B314EF ushauri huo mzigo wako ungetafuta odds kidogo harafu ndo unaweka, check kwanza hiyo codeSportybet