Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

baada ya simba kuchana, nikarebet, Stuttgart nilimpa dc nikaacha simu mahali,
saizi nachukua simu naona kala 5, imebidi nicheke tu,

btw, hii UCL ya msimu huu kuna timu zinapewa visago vya ajabu sana,
Huwa unaangalia taarifa rasmi za timu kuelekea mchezo husika? Majeruhi, morali au nani kasimamishwa? Huwa vinaathiri sana matokeo ya mchezo. Stuttgart leo wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza hawakusafiri na timu Undav, Lewing, Al-Dakhil wote hawa hawakuwepo hata kiungo wao mkabaji Stiller alicheza na maumivu.
 
Umetoa point nzto
 
Mbona hyo promocofr inagoma
 
Wakuu habari. Naomba kuuliza, hivi handcap ni nini au ina maana gani
Hii option inayotoa nafasi ya kuleta uwiano wa mchezo kwa kuruhusu timu mojawapo ifungwe au iongoze kabla mchezo haujaanza. Technically, ufanyaji kazi wake unafanana na double chance ila unakupa option to move the line to the best odds as possible.

Mfano wa handicap; mchezo wa jana kati L'pool vs Real Madrid uliisha 2-0. Kwa mtu aliyetaka Madrid ashinde maana yake alicheza handicap +2.5 ukijumlisha ule ubao utasomeka 2-2.5 hapa Madrid ame-cover line. Kwa upande wa L'pool aliyepewa nafasi ya kushinda ulipaswa kumpa Asian hcp -0.5 yaani ashinde kwa zaidi ya goli 1 kadri unavyo-move line higher ndivyo odds zinapanda ila hakikisha utafiti wako uko sawa timu iwe inaweza kufunga goli nyingi.

Hitimisho, Chanya umemtanguliza kibonde yaani apate sare, ashinde au asifungwe zaidi goli ulizompa. Hasi umemwamini mbabe atanguliwe ila ashinde zaidi ya goli alizotanguliwa. Asian handicap wanatumia decimals ila European handicap wanatumia namba kamili. Pia, tofauti ya 3 way handicap na 2 way handicap ni moja tu 3 way hcp ina option ya sare.
 
Jana ilikuwa balaaa bada ya kuepuka mitego yote ya mapema
Ukafika muda wa ajax mpaka HT keshakula mbili nikasema leo zamu ya muhindi nikalala... ssubuhi nakuta kafanya comeback πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani imeniuma kweli yaani nilikua nimebet mechi mbili Dotimund na PSV nilikua nmeweka 100,000 nilikua nakula 215,000 mpaka dakika ya 70 PSV kafungwa 2 ikabidi niangalie cashout nikakuta inasoma 30,000 ikabidi nipite nayo nika lala nimeamka nakuta PSV kachomoa goli zote mbili nakuongeza moja yaani maumivu niliyonayo hayaelezeki.
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…