Huwa unaangalia taarifa rasmi za timu kuelekea mchezo husika? Majeruhi, morali au nani kasimamishwa? Huwa vinaathiri sana matokeo ya mchezo. Stuttgart leo wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza hawakusafiri na timu Undav, Lewing, Al-Dakhil wote hawa hawakuwepo hata kiungo wao mkabaji Stiller alicheza na maumivu.baada ya simba kuchana, nikarebet, Stuttgart nilimpa dc nikaacha simu mahali,
saizi nachukua simu naona kala 5, imebidi nicheke tu,
btw, hii UCL ya msimu huu kuna timu zinapewa visago vya ajabu sana,