msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Yaani ulitegemea Madrid amfunge Liverpool kweli?Madrid shenzi zako
umetoa point nzito sana mkuu, ila niwe mkweli kuchambua sana games nilishaacha maana niliona haisaidii...... but hii point uliyo-raise hapa ni ya msingi sana na sikuzingatia,Huwa unaangalia taarifa rasmi za timu kuelekea mchezo husika? Majeruhi, morali au nani kasimamishwa? Huwa vinaathiri sana matokeo ya mchezo. Stuttgart leo wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza hawakusafiri na timu Undav, Lewing, Al-Dakhil wote hawa hawakuwepo hata kiungo wao mkabaji Stiller alicheza na maumivu.
😭😭😭😭😭Jamani imeniuma kweli yaani nilikua nimebet mechi mbili Dotimund na PSV nilikua nmeweka 100,000 nilikua nakula 215,000 mpaka dakika ya 70 PSV kafungwa 2 ikabidi niangalie cashout nikakuta inasoma 30,000 ikabidi nipite nayo nika lala nimeamka nakuta PSV kachomoa goli zote mbili nakuongeza moja yaani maumivu niliyonayo hayaelezeki.View attachment 3163747
Nilimpa apate goli 1Yaani ulitegemea Madrid amfunge Liverpool kweli?
Sawa ngoja nicheki,Check hii, 8B314EF ushauri huo mzigo wako ungetafuta odds kidogo harafu ndo unaweka, check kwanza hiyo code
View attachment 3163498
𝐑𝐨𝐥𝐥 𝐎𝐯𝐞𝐫 𝐃𝐚𝐲 𝟏
Code>>> TXESU
Tumia Promo Code 𝐓𝐈𝐏𝐒𝟐𝟒𝟐𝟒 Upate Bonus Ya 𝟑𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎 Ukideposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: 𝐓𝐈𝐏𝐒𝟐𝟒𝟐𝟒
Pole sana cash out muda mwingine Ina mambo sana, mfano ungesema uache labda wakatoka 2-2 ftJamani imeniuma kweli yaani nilikua nimebet mechi mbili Dotimund na PSV nilikua nmeweka 100,000 nilikua nakula 215,000 mpaka dakika ya 70 PSV kafungwa 2 ikabidi niangalie cashout nikakuta inasoma 30,000 ikabidi nipite nayo nika lala nimeamka nakuta PSV kachomoa goli zote mbili nakuongeza moja yaani maumivu niliyonayo hayaelezeki.View attachment 3163747
Pole sana
Ungewapa over 1.5 ilikua lazima itoeNilimpa apate goli 1
Daah ata mimi nimetoa Cash out mkeka ukatikuPole sana cash out muda mwingine Ina mambo sana, mfano ungesema uache labda wakatoka 2-2 ft
VERIFICATION CODE HAIJIView attachment 3163783
Roll Over Day 1 BOOOOOOOMMMM ✅✅✅✅✅💯💯💯💯✅✅🤑🤑🤑
160000💰, Lengo ni kutengeneza 4.2 Million Ndani Ya Siku 8
Tumia Promo Code 𝐓𝐈𝐏𝐒𝟐𝟒𝟐𝟒 Upate Bonus Ya 300,000 Ukideposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
mkuu una maana gani kumwambia labda asajili akaunti nyingine au ni kwa ajili ya yako ww ili tu upate kamisheni yako kwa hiyo promo code yako....kwani hizi kampuni za kibongo tangu lini zikaruhusu mteja kuwa na akaunti mbili.?Promo Code unajaza wakati unajisajili, kama ushasajili akaunti haiwezi kukubali labda ufungue Akaunti nyingine, kisha sehemu ya promo code utaweka Neno TIPS2424
Namaanisha Promo Code inatakiwa ijazwe mwanzo Wakati wa kujiunga, Promo Code hazijazwi kama tayari ushajiunga. Pia yeye aliniuliza mbona Promo Code haifanyi kazi, ndiyo nikawa Nampa majibumkuu una maana gani kumwambia labda asajili akaunti nyingine au ni kwa ajili ya yako ww ili tu upate kamisheni yako kwa hiyo promo code yako....kwani hizi kampuni za kibongo tangu lini zikaruhusu mteja kuwa na akaunti mbili.?
VERIFICATION CODE HAIJI