Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huwa unaangalia taarifa rasmi za timu kuelekea mchezo husika? Majeruhi, morali au nani kasimamishwa? Huwa vinaathiri sana matokeo ya mchezo. Stuttgart leo wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza hawakusafiri na timu Undav, Lewing, Al-Dakhil wote hawa hawakuwepo hata kiungo wao mkabaji Stiller alicheza na maumivu.
umetoa point nzito sana mkuu, ila niwe mkweli kuchambua sana games nilishaacha maana niliona haisaidii...... but hii point uliyo-raise hapa ni ya msingi sana na sikuzingatia,

asante kwa kunikumbusha!
 
Jamani imeniuma kweli yaani nilikua nimebet mechi mbili Dotimund na PSV nilikua nmeweka 100,000 nilikua nakula 215,000 mpaka dakika ya 70 PSV kafungwa 2 ikabidi niangalie cashout nikakuta inasoma 30,000 ikabidi nipite nayo nika lala nimeamka nakuta PSV kachomoa goli zote mbili nakuongeza moja yaani maumivu niliyonayo hayaelezeki.View attachment 3163747
😭😭😭😭😭
 
View attachment 3163498
𝐑𝐨𝐥𝐥 𝐎𝐯𝐞𝐫 𝐃𝐚𝐲 𝟏

Code>>> TXESU

Tumia Promo Code 𝐓𝐈𝐏𝐒𝟐𝟒𝟐𝟒 Upate Bonus Ya 𝟑𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎 Ukideposit.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: 𝐓𝐈𝐏𝐒𝟐𝟒𝟐𝟒
-k53tmz.jpg

Roll Over Day 1 BOOOOOOOMMMM ✅✅✅✅✅💯💯💯💯✅✅🤑🤑🤑

160000
💰, Lengo ni kutengeneza 4.2 Million Ndani Ya Siku 8

Tumia Promo Code 𝐓𝐈𝐏𝐒𝟐𝟒𝟐𝟒 Upate Bonus Ya 300,000 Ukideposit.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424
 
Jamani imeniuma kweli yaani nilikua nimebet mechi mbili Dotimund na PSV nilikua nmeweka 100,000 nilikua nakula 215,000 mpaka dakika ya 70 PSV kafungwa 2 ikabidi niangalie cashout nikakuta inasoma 30,000 ikabidi nipite nayo nika lala nimeamka nakuta PSV kachomoa goli zote mbili nakuongeza moja yaani maumivu niliyonayo hayaelezeki.View attachment 3163747
Pole sana cash out muda mwingine Ina mambo sana, mfano ungesema uache labda wakatoka 2-2 ft
 
Na Mimi hivyo hivyo Leo siku ya tatu, kwenye stutus Kuna deshi tu nashindwa kuwaelewa Kuna njia ya kuwasiliana nao ukiacha na zile za kwenye app yaani namba za simu ukaongea nao
 
Promo Code unajaza wakati unajisajili, kama ushasajili akaunti haiwezi kukubali labda ufungue Akaunti nyingine, kisha sehemu ya promo code utaweka Neno TIPS2424
mkuu una maana gani kumwambia labda asajili akaunti nyingine au ni kwa ajili ya yako ww ili tu upate kamisheni yako kwa hiyo promo code yako....kwani hizi kampuni za kibongo tangu lini zikaruhusu mteja kuwa na akaunti mbili.?
 
Namaanisha Promo Code inatakiwa ijazwe mwanzo Wakati wa kujiunga, Promo Code hazijazwi kama tayari ushajiunga. Pia yeye aliniuliza mbona Promo Code haifanyi kazi, ndiyo nikawa Nampa majibu
 
Hebu Tuangalie hapa na tufanye Editing tutoke na kitu bora

AAE7ED
 
Attachments

  • share_1732779915507.jpeg
    share_1732779915507.jpeg
    129.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom