blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
1hlf 0:0Yanga hamuioni wakuu
13C069Naombeni odds mbili za uhakika wknd, kampuni ya sportbet nataka kuweka elf50
Chukua hizo leo na keshoMwenye odd 3 sportbet naomba anipe niweke 500000 Nina shida na milioni 1 leo
13C069Mwenye odd 3 sportbet naomba anipe niweke 500000 Nina shida na milioni 1 leo
Atletiko yuko vizuriWakuu naombeni maoni yenu mechi ya madrid na ya Yanga
Sawa mkuuAtletiko yuko vizuri
Mpe Dc
Wananchi achana nao
Real madrid ni kesho mpe mazima
Hapo Kwa Celtic hapo panaweza pakaleta shidaNina hamu ya kuwapa celtic psg barca halftime π€£π€£π€£
YANGA Mpe hizi options:-Wakuu naombeni maoni yenu mechi ya madrid na ya Yanga
Kampun gani8EEACB7 check hapa Mkuu uangalie angalie
SportybetKampun gani
Yanga uhakika, Madrid usikilize moyo wako au cheza option tofauti na ushindi.Wakuu naombeni maoni yenu mechi ya madrid na ya Yanga
Madrid ananipa wakati mgumu nimeamua kumtema yanga naye hayupo kwenye mkeka nilitaka nijilipue naye mazimaYanga uhakika, Madrid usikilize moyo wako au cheza option tofauti na ushindi.
Na mimi nifanye nihamie sporty pesa mechi ya Yanga hawajaiwekwa kwa haya makampuni mengineYOUNG AFRICANS vs NAMUNGO
Imebidi niifuate huko huko SPORTYPESA hawa wengine wazushi mpaka Mechi ianze au Mechi ya Saa kumi iishe
View attachment 3165748
Fungua tu account ni simpleNa mimi nifanye nihamie sporty pesa mechi ya Yanga hawajaiwekwa kwa haya makampuni mengine