UhakikaFungua tu account ni simple
Mechi Z NBC huwa wanaziweka mapema mnooo
Unaunga Young Africans na Mechi kama Tatu hivi unatulia zako
Mie nimesajili Makampuni karibia 5 ya betting [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Over 1.5 ✅✅YANGA Mpe hizi options:-
YOUNG AFRICANS Win
YOUNG AFRICANS over 1.5
YOUNG AFRICANS vs NAMUNGO overall 1.5
Real Madrid win or over 2.5
Huwa sina bahati na Sportpesa. Ila ngoja nijaribu leo kwa mara ya mwisho
Megapari na Betwinner ndio ziko vizuriKampuni yoyote ambayo ni clone ya 1xbet ni MAJAMBAZI
22bet
Helabet
BetWinner
Megapari
Paripesa
888Staz
Hizi kampuni ukiachilia mbali usumbufu wa kuweka na kutoa lakini siku ukiwaotea parefu SAHAU kuhusu kulipwa hela zako
Ukisha ona unaanza kuambiwa tuma email kwenye security team kwaajili ya KYC ujue shughuli unayo.....
Usidanganyike na DEMO ACC za wapiga debe, wao wanapata chao ukijisajili na kuweka hela lakini yatakayo kukuta mbeleni utajua mwenyewe
So make sure kama unatumia hizi kampuni basi zitumie at your own risk
Hapo walisajiliwa Tz ni Betwinner na Helabet lakini hawawezi kufika mbali watafungiwa soon kama 22bet sababu ya ubabaifu na uhuni wao
Tafuta contact za Bodi uwasiliane nao kama ni Betwinner na Helabet
Hao wengine bodi haiwatambui
Hako katimu kanakuwaga kagumu sanaBarca amekaziwa first half inayoyoma
Anaweza kudroo hii gemuNaona Barca kagoma kutoa Halftime
Ashapigwa kamoja kahamuAnaweza kudroo hii gemu
Kapigwa yeye sasa na kuchomoa hapo ni kimbembeNaona Barca kagoma kutoa Halftime
MLIOMPA BARCA LEO ANDIKENI MAUMIVU !Kapigwa yeye sasa na kuchomoa hapo ni kimbe