Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah saiv sjui nna mkosi kila nikidandia matreni ya watu ya odds kuanzia buku+ yana chana kuanzia timu 7 na kuendelea dadeq😤😤
Kama kuna mtu ambaye matreni yake yanaznguaga ata timu nne kushuka chini awe ananipatia zikichana timu nne kushuka chini ntakua namgea ata ya vocha wazee lost zimekua mingi🥶
 
Kampuni gani wanaweka cashout wakati kuna game yenye utata?
Sportybet -Sema Nilikua na Hangover nikaachana nayo - Cashout nadhani ilikua sababu ya game ya Juve,,,,,,,,


Nilivyorudi nikalala tu, asubuhi ndiyo naona pesa imeingia,,,,,,,,


Sasa hivi hapa Ni-screenshot nikutumie ndo namuona Juve hapo,,,,,,


Nilicheza game9 zote ov1.5, Hela ilipungua ila kidogo sana si unaona point yenyewe ya Kidwanzi,,,,,,😆
Screenshot_20241202-183501~2.png
 
Jana haikuwa siku nzuri sana kwangu ila nilirudisha pesa na bahati mbaya hii code nazani siku share

Nimeona nichukue likizo tu mpaka ijumaa
Kuna code ulileta hapa ni treni linakimbia sana naomba uwe una share mkuu japo match ya jana ilisimama lakini ina matumaini nazani lita vuka salama
 

Attachments

  • Screenshot_20241202-191819.png
    Screenshot_20241202-191819.png
    135.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241202-191800.png
    Screenshot_20241202-191800.png
    136.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241202-191744.png
    Screenshot_20241202-191744.png
    133.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241202-191716.png
    Screenshot_20241202-191716.png
    134.5 KB · Views: 3
Mkuu hii kampuni Haina utapeli
Natumia toka 2018, nilikuwa nadeposit kwa mobile payment wakati huo kisha wakaondoa mobile payment nikawa nadeposit kwa KCB Bank minimum kudeposit ilikuwa 1500 na minimum kuwithdraw ilikuwa 120,000+.

Baadaye na njia za bank kuwithdraw wakaondoa nikahamia 1xbet.

Hao 1xbet walivyoleta kodi ndio nipo kwa hawa melbet, megapari na 888starz.

Kujibu swali lako, hawasumbui coz siku hizi hata wakala yupo. Unachagua udeposit kwa wakala au mobile payment.
Changamoto kudeposit kwa mobile payment hasa voda makato makubwa sana.
Mimi natumia wakala namwekea bank sikatwi hata kumi.
 
Walishaqualify group stage , wanacheza kukamilisha ratiba , hii ilikua sio mechi ya kubetia mkuu …ulitakiwa uikimbie hii mechi
Duhhh Group Stage wakati NDIO mzunguuko umeanza hata Mechi 7 bado

Wanacheza mfumo wa UEFA

Al Nassr siku hizi ya Kawaida mnoo

Nilikuwa naiangalia hapa, Penalty sekunde ya meishoo kachapwa mbili
 
Back
Top Bottom