Sportybet -Sema Nilikua na Hangover nikaachana nayo - Cashout nadhani ilikua sababu ya game ya Juve,,,,,,,,Kampuni gani wanaweka cashout wakati kuna game yenye utata?
Jana haikuwa siku nzuri sana kwangu ila nilirudisha pesa na bahati mbaya hii code nazani siku shareMkuu Kentaro njoo huku
Mkuu hii kampuni Haina utapeliKampuni gani wanaweka cashout wakati kuna game yenye utata?
Tusubiri hela tu inaweza kurudi leo usiku. Mrusi bado haja-apdate tu.View attachment 3167447
Kuna code ulileta hapa ni treni linakimbia sana naomba uwe una share mkuu japo match ya jana ilisimama lakini ina matumaini nazani lita vuka salamaJana haikuwa siku nzuri sana kwangu ila nilirudisha pesa na bahati mbaya hii code nazani siku share
Nimeona nichukue likizo tu mpaka ijumaa
Ila ulukula kiulaini sanaJana haikuwa siku nzuri sana kwangu ila nilirudisha pesa na bahati mbaya hii code nazani siku share
Nimeona nichukue likizo tu mpaka ijumaa
Naona biblia na quran apo , jamaa ana dini mbili hataki kuikosa mbinguIla ulukula kiulaini sana
Na odd zilikaaje ? Chini ya 1.22 to 1.44 au juu ya hapo?Kuna mitimu mingine kanji anai overate bhn , Yani al nassr nmeeka over 1.5 full time , mpka sahii hakuna goli😠 sijui kisa Ronaldo hayupo
Natumia toka 2018, nilikuwa nadeposit kwa mobile payment wakati huo kisha wakaondoa mobile payment nikawa nadeposit kwa KCB Bank minimum kudeposit ilikuwa 1500 na minimum kuwithdraw ilikuwa 120,000+.Mkuu hii kampuni Haina utapeli
Walishaqualify group stage , wanacheza kukamilisha ratiba , hii ilikua sio mechi ya kubetia mkuu …ulitakiwa uikimbie hii mechiKuna mitimu mingine kanji anai overate bhn , Yani al nassr nmeeka over 1.5 full time , mpka sahii hakuna goli😠 sijui kisa Ronaldo hayupo
1.12 over 1.5 full timeNa odd zilikaaje ? Chini ya 1.22 to 1.44 au juu ya hapo?
Bado goli moja tu nasubiri, afu mbona sa wanashambulia hvo , wanataka matokeo wapo homeWalishaqualify group stage , wanacheza kukamilisha ratiba , hii ilikua sio mechi ya kubetia mkuu …ulitakiwa uikimbie hii mechi
Mimi sijawahi kubagua kitabu cha kusoma mkuu. Ukifanya hivyo unakosa maarifa.Naona biblia na quran apo , jamaa ana dini mbili hataki kuikosa mbingu
Duhhh Group Stage wakati NDIO mzunguuko umeanza hata Mechi 7 badoWalishaqualify group stage , wanacheza kukamilisha ratiba , hii ilikua sio mechi ya kubetia mkuu …ulitakiwa uikimbie hii mechi