Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuh kwenye makati hapo wamenikimbiza
 
Duuh kwenye makati hapo wamenikimbiza
Voda ndio wana makato makubwa, mitandao mingine safi. Hii ni kwa mobile payment, ila ukitumia wakala makato ni ya kawaida ya lipa namba.
Ukimdipositia kwa benki ni free coz si unaenda kwa wakala wa benki tu!
 
Duuh changamoto natumia voda ngoja nibaki tu sportybet
 
Duuh changamoto natumia voda ngoja nibaki tu sportybet
Kama na voda utatumia kwa wakala lipa kwa MPESA makato ni ya kawaida. Kama mimi nilideposit kwa wakala lakini natoa kwa mobile imekubali vizuri tu, nimetoa mara 3 mfululizo.
Sema wengine huwa hawapendi kudeposit kwa wakala hasa pale unapopitia wakati mgumu wa kuliwa unakuwa mtu wa kudeposit tu hata mara 5 kwa siku mpaka unaona shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…