Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,438
- 15,674
Madrid kupata goli 2 ni 75% kwa mtazamo wangu. Tena hii biashara anamaliza ndani ya dakika 60.Mkuu mechi ngumu hizi labda over kwa timu zote lakini siyo kwa moja uipe over mfano Madrid kumpa over 1.5 ni hatari.