Jamaa katishaWatu ni bahati zao noma sana
View attachment 3169334
Mbona sjawah kukaona kakiruka odds nyingi hvyoWatu ni bahati zao noma sana
View attachment 3169334
Hata mimi nimejiuliza mkuu, kwamba kindege kiliruka mpaka ngapi hadi ashinde million 40 kwa stake ya 100Mbona sjawah kukaona kakiruka odds nyingi hvyo
Huyu jamaa nadhani alipo place bet alisinzia alipokuja kushtuka kindege kipo karibu na mwezini 😂Watu ni bahati zao noma sana
View attachment 3169334
Hakika kwa stake ya 100 ikifika 50k tu unacashout fasta huyu labda aliacha simu kuja kucheki bado inacountHuyu jamaa nadhani alipo place bet alisinzia alipokuja kushtuka kindege kipo karibu na mwezini [emoji23]
Na hivi kinaweza kufika odd 400,000 kweli?
Maana yake kwa akili ya kawaida kabisa umestake 100 halafu kuvumilia kidege kinafika laki, laki5 M1, M5 yaani unasubiri tu hadi 40M kwa akili ya kawaida ni next to impossible aiseee
Labda kama sio kindege
Mkuu Sportpesa wamepost kwenye ukurasa nenda katazamane kama wametupanga hayaMbona sjawah kukaona kakiruka odds nyingi hvyo
Mbona sjawah kukaona kakiruka odds nyingi hvyo
Hahahahah niseme pole yako......🤣🤣🤣🤣Kaka upo vizur nikiangalia apa kwa jana tu ume stake laki 9 na nusu, Leo ume stake laki 6 na 45k heshima yako kaka🙌🙌
Hii maana yake kipindi cha kwanza isipatikane kona hata moja. Usikurupuke bro ielewe hio option usione tu odds mlima ukatamani utaenda na maji bure Kanji hana huruma.Nitatoboa kweli hapa 🤒 🤒 🤒.
View attachment 3169537