Madrid kupata goli 2 ni 75% kwa mtazamo wangu. Tena hii biashara anamaliza ndani ya dakika 60.Mkuu mechi ngumu hizi labda over kwa timu zote lakini siyo kwa moja uipe over mfano Madrid kumpa over 1.5 ni hatari.
Hongera mzee
Hawa chelsea gari limewakaaaa
Tuache kwanza mkuu πππHawa chelsea gari limewakaaaa
Ila kubwa jinga moja huko madird sumbufuHawa chelsea gari limewakaaaa
Mbona kama wanarukaruka tuThe blues now uhakika usiogope kuibetia
Na badoYaani rever ndio wa kutoaga droo kweli!!
Aiseee Asante Sana niliifata 10.5conner na imetoaHii game inatamanisha sana kumfuata Aseno mazima lakini Man U sio wa kuwachukulia poa wamepandisha form yao wanaweza kufanya maajabu
Mi naondoka nayo kwa Total corner Over 10.5 Odd 2
Kwa sababu timu zote zinashambulia sana possibility ya kona nyingi ni kubwa
Mapped aache ungeseMBAPPE anafirua