Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Hongera sana MkuuAiseee Asante Sana niliifata 10.5conner na imetoa
Kona 13 kwa 0, kweli washkaji wanakazaHongera sana Mkuu
Mi naamka asubuhi nakuta balance imenona
Ila Aseno mwamba kabisa katuokoa maana Man U hajapiga kona hata moja kudadeki utadhani alikua amepaki basiπ
Yaani mshenzi kaua mikeka yangu mizuri daaah!Na bado
Jamaa katishaWatu ni bahati zao noma sana
View attachment 3169334
Mbona sjawah kukaona kakiruka odds nyingi hvyoWatu ni bahati zao noma sana
View attachment 3169334
Hata mimi nimejiuliza mkuu, kwamba kindege kiliruka mpaka ngapi hadi ashinde million 40 kwa stake ya 100Mbona sjawah kukaona kakiruka odds nyingi hvyo
Huyu jamaa nadhani alipo place bet alisinzia alipokuja kushtuka kindege kipo karibu na mwezini πWatu ni bahati zao noma sana
View attachment 3169334
Hakika kwa stake ya 100 ikifika 50k tu unacashout fasta huyu labda aliacha simu kuja kucheki bado inacountHuyu jamaa nadhani alipo place bet alisinzia alipokuja kushtuka kindege kipo karibu na mwezini [emoji23]
Na hivi kinaweza kufika odd 400,000 kweli?
Maana yake kwa akili ya kawaida kabisa umestake 100 halafu kuvumilia kidege kinafika laki, laki5 M1, M5 yaani unasubiri tu hadi 40M kwa akili ya kawaida ni next to impossible aiseee
Labda kama sio kindege
Mkuu Sportpesa wamepost kwenye ukurasa nenda katazamane kama wametupanga hayaMbona sjawah kukaona kakiruka odds nyingi hvyo
Mbona sjawah kukaona kakiruka odds nyingi hvyo