mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Hahahahah niseme pole yako......π€£π€£π€£π€£Kaka upo vizur nikiangalia apa kwa jana tu ume stake laki 9 na nusu, Leo ume stake laki 6 na 45k heshima yako kakaππ
Hii maana yake kipindi cha kwanza isipatikane kona hata moja. Usikurupuke bro ielewe hio option usione tu odds mlima ukatamani utaenda na maji bure Kanji hana huruma.Nitatoboa kweli hapa π€ π€ π€.
View attachment 3169537
umeielewa hiyo option lakini mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nitatoboa kweli hapa [emoji855] [emoji855] [emoji855].
View attachment 3169537
ππππ, nimeilewa mkuu, acha woga mkuuumeielewa hiyo option lakini mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kwamba 1st half kusiwe na kona sio? unaumwa sio bure!
Kabisa kaka kuna namnaHuyu jamaa nadhani alipo place bet alisinzia alipokuja kushtuka kindege kipo karibu na mwezini [emoji23]
Na hivi kinaweza kufika odd 400,000 kweli?
Maana yake kwa akili ya kawaida kabisa umestake 100 halafu kuvumilia kidege kinafika laki, laki5 M1, M5 yaani unasubiri tu hadi 40M kwa akili ya kawaida ni next to impossible aiseee
Labda kama sio kindege
Ingiaa king sasaa..πππWatu ni bahati zao noma sana
View attachment 3169334