Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera sana Mkuu

Mi naamka asubuhi nakuta balance imenona
Ila Aseno mwamba kabisa katuokoa maana Man U hajapiga kona hata moja kudadeki utadhani alikua amepaki basiπŸ˜‚
Yaaani muda wote and pumuliwa
 

Code>> JGHAB

Tumia Promo Code π“πˆππ’πŸπŸ’πŸπŸ’ Upate Bonus Ya πŸ‘πŸŽπŸŽ,𝟎𝟎𝟎 Ukideposit.

Jisajili PariPesa Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: π“πˆππ’πŸπŸ’πŸπŸ’

LUNCH TICKET πŸ€
 
Mara ya pili hii Tottenham anakimbia na kibunda changu, ngoja nisubiri tarehe 7, nione nimpe Barca over 1.5 au Man City over 1.5. Sijui ina maana gani kwamba Chelsea anakaa game ijayo na Tottenham?
 

Attachments

  • Screenshot_20241206-100312_SportPesa.jpg
    155.4 KB · Views: 3
Wamenichania wao tu tena ilikua mechi ya mwisho na nilipitiwa usingizi nikijua spurs hawezi kosa goli moja, nashtuka mechi imeisha
Haya yamenikuta juzi,nikamuamin frankfurt apate japo goli moja,nikagoma kucashout nikisubir goli lakin wapi halikutokea,pamoja na kuongoza kumiliki mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…