Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

coupon_57811216561_2152192.png
 
Mara ya pili hii Tottenham anakimbia na kibunda changu, ngoja nisubiri tarehe 7, nione nimpe Barca over 1.5 au Man City over 1.5. Sijui ina maana gani kwamba Chelsea anakaa game ijayo na Tottenham?
Screenshot_20241206-100241_SportPesa.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20241206-100312_SportPesa.jpg
    Screenshot_20241206-100312_SportPesa.jpg
    155.4 KB · Views: 3
Wamenichania wao tu tena ilikua mechi ya mwisho na nilipitiwa usingizi nikijua spurs hawezi kosa goli moja, nashtuka mechi imeisha
Haya yamenikuta juzi,nikamuamin frankfurt apate japo goli moja,nikagoma kucashout nikisubir goli lakin wapi halikutokea,pamoja na kuongoza kumiliki mpira
 
Back
Top Bottom