WEYRMFZ sio uhakika ila check hapo bpMwenye odd 10 za uhakika aziwwke . Maana Jana psg
Poa poa ngoja nizingatieManchester city na galatasaray kukupa hizo goli ni uhakika kwa sababu hizo timu zinajitahidi kufunga lakini zinahakikisha wapinzani wao pia wanapata chochote
Mhindi anatutushaπ€£Liverpool
GG 1.8, Everton goal 1 odd 1.63, inatamanisha sanaHizi odds za Liverpool 1.55 muindi ana maana Gani π
Man city 1.74...Hizi odds za Liverpool 1.55 muindi ana maana Gani [emoji23]
Ngoja nitembee nazoWeekend ya moto hiiView attachment 3171060
Nimeweka buku ngoja tuoneNgoja nitembee nazo
Leta timuLeo ukichagua game moja unaweka stake Tembo unachoma nyama usiku.
Machungu ya Tottenham na PSG yanaisha.
Usijaze matimu mengi kama unawekq Tembo, 30k to 50k faida sio mbaya.
#nimchezowabahatinasibu
Temena na hao Chelsea na Tottenham siwaamini, lolote linaweza tokea.Weekend ya moto hiiView attachment 3171060
Mi huwaga nabeti magoal tu, Man City na Real Madrid nimewapa goal 2, Al Ahly FC nimempa goal 1 asindwe mwenyewe. Nimeona hapo mkeka wako uko sawa, ila leo Barca sijamchukua ni hao tu.Leta timu