IsifungweWengine wageni hapa ndo mnamaanisha nini home team clean sheet
Imenikuta hapa juzi kati team za ukrein premier, nikaangalia H2H gemu kama 5 hakuna walotoa suluhu zote wamefungana kwa idadi ya magoli 2 chache goli 1, nikachek previous mechi za kila team ,hakuna walokosa kufunga goli haijalishi alishindwa au alishinda.. nikahitimisha kwa kuwaomba goal 1 FT.Yani hata goli moja kupata ni issue ukiangalia timu ulizoziacha wanascore uliyochagua sasa ni 0-0
Saivi wamoto sana, ila kwa usalama wako subiri uone 1st elevwn kwanza tusijeanza laumiana badaeKwa wale waliocheki game ya mwisho ya City vipi amuone goal 2 pale kesho, nataka nitupie tembo over 1.5 kwa City.
Kabisa kaka city ni city tu ule upepo kila team kubwa huwa wanaupitia.Zipo,tupia
City tumsikariri kama YOUNG AFRICANS
Giants giant tu ,unatake part yenye asilimia kubwa ya uhakika
Ahahaha hao niliwapa kona 9, wametoa kona 15Psg ana attempt 20 lakini hana goli mpaka sasa dk85
GG uhakika ,ila.saiv pale anadaka Ortega sio rahis city kutoa GGManchester city na galatasaray kukupa hizo goli ni uhakika kwa sababu hizo timu zinajitahidi kufunga lakini zinahakikisha wapinzani wao pia wanapata chochote
Mkamaria unabet na Kanji naye anabet. kinachosababisha Kanji apate faida kubwa ni kwasababu yeye anataka mechi moja tu ichane kwenye mkeka wako.Au gemu zinacheza 567 , unaweka zako over 0.5 gemu zako 20 upate odd 2 ustake zako high , Cha ajbu gemu 50 kati ya 500+ zinatoka 0-0 , unajikuta gemu Yako umeangukia kwny hzo gemu za 0-0 dah😂 Yani hzo gemu 500 zote uliziruka dah kama uchawi vile😭 SEMA unakuta mda mwengne kanji nae jau unakuta ananza na over 2.5 au 3.5
Unaweza hisi umelogwa vileImenikuta hapa juzi kati team za ukrein premier, nikaangalia H2H gemu kama 5 hakuna walotoa suluhu zote wamefungana kwa idadi ya magoli 2 chache goli 1, nikachek previous mechi za kila team ,hakuna walokosa kufunga goli haijalishi alishindwa au alishinda.. nikahitimisha kwa kuwaomba goal 1 FT.
Mkeka ulikuwa na odds 11 , teams almost 12 , hao wapuuzi wakatoa 0 - 0 ft kwa mara ya kwanza. Zingine zote zikatiki kasoro na barca akapigwa kwao na las palmas
12 games, 10 won, 2 lost
Enhee kabisa Yani , ye yake Moja tu , ila sisi zote zitiki😂Mkamaria unabet na Kanji naye anabet. kinachosababisha Kanji apate faida kubwa ni kwasababu yeye anataka mechi moja tu ichane kwenye mkeka wako.