Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Imenikuta hapa juzi kati team za ukrein premier, nikaangalia H2H gemu kama 5 hakuna walotoa suluhu zote wamefungana kwa idadi ya magoli 2 chache goli 1, nikachek previous mechi za kila team ,hakuna walokosa kufunga goli haijalishi alishindwa au alishinda.. nikahitimisha kwa kuwaomba goal 1 FT.

Mkeka ulikuwa na odds 11 , teams almost 12 , hao wapuuzi wakatoa 0 - 0 ft kwa mara ya kwanza. Zingine zote zikatiki kasoro na barca akapigwa kwao na las palmas

12 games, 10 won, 2 lost
Unaweza hisi umelogwa vile
 
Kucheki huku umebeti au au ukiwa umekaa kwenye tv.
Nasikia yaccine tv wanaonesha.
Ila sisi tunaobeti huwa tunaangalia hata ile michoro ya mfano wa mpira bila wasi.
Na wenyewe wameshatujua wanatuwekea hivyo hivyo.
Hapana mkuu..sijabeti..nataka tu kuangalia.
 
Benfica vs Vitoria Guimares - Over 2.5 goals @1.60

Benfica wamecheza mechi 6 za ligi nyumbani msimu huu na kufunga goli 22, wastani wa goli 3.6 ktk kila mchezo.

Mechi 5 kati ya 6 walifunga zaidi ya goli 4, walishinda 4-1 vs. Porto, 5-0 vs. Rio Ave, 5-1 vs. Gil Vicente, na 4-1 vs. Santa Clara.

Mechi 3 za mwisho dhidi ya Vitoria Guimares zote zilitoa kuanzia goli 4. Benfica wana mechi 2 mkononi dhidi ya Sporting CP wakishinda zote wataongoza ligi na hii ni nafasi yao ya kurudi.
Dah,,,,, 🤣 🤣 🤣
 
Jumanne Mungu akipenda ntakuwa na katafrija kidogo
1000201501.jpg
 
Baka + City wamemaliza tuwasubiri kina united tayari washamchenyeta huko, kona bao
 
Back
Top Bottom