Karibu mjengoni kwenye vita😆Wakuu nimerudi nilipotea kidogo
Karibu mjengoni kwenye vita😆Wakuu nimerudi nilipotea kidogo
Kuna hiyo dalili kakawanangu ivi mechi hawezi isha draw hii kama ya city jana
1-2 huko dk 90"wanangu ivi mechi hawezi isha draw hii kama ya city jana
Msife Moyo 1-2Kuna hiyo dalili kaka
1-2 huko dk 90"
huu ni arsenal tu kachana kwa 2up japo over 1.5 imetoaMainz GG or over 1.5 example (1-1)
Leicester GG or over 1.5
Florentina 2Up or over 1.5
Arsenal 2Up or over 1.5
lens 1x
Hapo unaenda kuanza week yako vyema
GOOD LUCK WINNER
Kweli aisee yani goli limekaceliwa noma sanaDah draw ile ilikuwa na 3 odds kweli uwoga wako ndio umaskini wako nimeliona hili leo
Una kituWape wafuatao washinde kona. Yaani wapate kona nyingi dhidi ya mpizani.
*Arsenal
*Chelsea
*Fiorentina
*Brighton
*Napol
Hapo ni zaid ya odd 8 na ni uhakika.