Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mainz GG or over 1.5 example (1-1)
Leicester GG or over 1.5
Florentina 2Up or over 1.5
Arsenal 2Up or over 1.5
lens 1x

Hapo unaenda kuanza week yako vyema
GOOD LUCK WINNER
huu ni arsenal tu kachana kwa 2up japo over 1.5 imetoa
na florentina imetoa direct sio 1.5

strategically ulikuwa unapata kitu hapa
 
Direct win ni hatari kwa afya magoli ni salama zaidi japo odds ni ndogo
Yah lakini siyo kila timu kuipa magori kuna timu za kuzipa Direct wini Mfano Psv. Frynoord, Inter, Magori unazipa Ajax, Man city, Man u hizi zikicheza weka over lazima magori yatafungwa zaid ya mawili
 
JANA NIMEMKOSA KANJI MECHI MBILI ZIMECHANA 😁
 

Attachments

  • Screenshot_20241209-073641_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241209-073641_SportyBet.jpg
    49.7 KB · Views: 4
Nilifanya maamuzi magumu ambayo sio ya kizalendo lakini yenye maslahi mapana na uchumi wangu kwa kuwaua Simba na Yanga

Nilitamani washinde lakini uhalisia niliona hela kwasababu hawana uwezo wa kushinda ugenini 😂
basi wew unabahati mkuu na roho ngumu
 
Back
Top Bottom