Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Direct win ni hatari kwa afya magoli ni salama zaidi japo odds ni ndogo
Yah lakini siyo kila timu kuipa magori kuna timu za kuzipa Direct wini Mfano Psv. Frynoord, Inter, Magori unazipa Ajax, Man city, Man u hizi zikicheza weka over lazima magori yatafungwa zaid ya mawili
 
JANA NIMEMKOSA KANJI MECHI MBILI ZIMECHANA 😁
 

Attachments

  • Screenshot_20241209-073641_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241209-073641_SportyBet.jpg
    49.7 KB · Views: 33
Nilifanya maamuzi magumu ambayo sio ya kizalendo lakini yenye maslahi mapana na uchumi wangu kwa kuwaua Simba na Yanga

Nilitamani washinde lakini uhalisia niliona hela kwasababu hawana uwezo wa kushinda ugenini 😂
basi wew unabahati mkuu na roho ngumu
 
Mbona wiki hii Betting ilikua rahisi kubashiri, tusikalili timu za England, Spaini na Italy kuna vitimu vya nchi ndogo vinatoa sana ukivibetiorod

Mbona wiki hii Betting ilikua rahisi kubashiri, tusikalili timu za England, Spaini na Italy kuna vitimu vya nchi ndogo vinatoa sana ukivibetia.
Orodhesha hizo Timu tuzichambue pia
 
Sportybet


💵💵💵💵💵💵


05CEF8

💵💵💵💵💵💵

Ukichukua code ni bora ukae edit ili kupunguza lawama kama code ikiwa lost

Kuna code nyingine tunaweka kwa ajili ya Cash out
 
Back
Top Bottom