Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza hisi umelogwa vileImenikuta hapa juzi kati team za ukrein premier, nikaangalia H2H gemu kama 5 hakuna walotoa suluhu zote wamefungana kwa idadi ya magoli 2 chache goli 1, nikachek previous mechi za kila team ,hakuna walokosa kufunga goli haijalishi alishindwa au alishinda.. nikahitimisha kwa kuwaomba goal 1 FT.
Mkeka ulikuwa na odds 11 , teams almost 12 , hao wapuuzi wakatoa 0 - 0 ft kwa mara ya kwanza. Zingine zote zikatiki kasoro na barca akapigwa kwao na las palmas
12 games, 10 won, 2 lost
Enhee kabisa Yani , ye yake Moja tu , ila sisi zote zitiki😂Mkamaria unabet na Kanji naye anabet. kinachosababisha Kanji apate faida kubwa ni kwasababu yeye anataka mechi moja tu ichane kwenye mkeka wako.
Kucheki huku umebeti au au ukiwa umekaa kwenye tv.Hivi ni app gani naweza check games nikiwa sina tv?
Hapana mkuu..sijabeti..nataka tu kuangalia.Kucheki huku umebeti au au ukiwa umekaa kwenye tv.
Nasikia yaccine tv wanaonesha.
Ila sisi tunaobeti huwa tunaangalia hata ile michoro ya mfano wa mpira bila wasi.
Na wenyewe wameshatujua wanatuwekea hivyo hivyo.
Pole sana mkuu..ni kawaida kwenye hili game.gadiola fu****n sanah....ansabisha naishi kwa shida jioni hii
Palace ni mkabaji mno tena akiwa home mimi kumpa city bado sanaMan city nini sasa jamani dah
Dah,,,,, 🤣 🤣 🤣Benfica vs Vitoria Guimares - Over 2.5 goals @1.60
Benfica wamecheza mechi 6 za ligi nyumbani msimu huu na kufunga goli 22, wastani wa goli 3.6 ktk kila mchezo.
Mechi 5 kati ya 6 walifunga zaidi ya goli 4, walishinda 4-1 vs. Porto, 5-0 vs. Rio Ave, 5-1 vs. Gil Vicente, na 4-1 vs. Santa Clara.
Mechi 3 za mwisho dhidi ya Vitoria Guimares zote zilitoa kuanzia goli 4. Benfica wana mechi 2 mkononi dhidi ya Sporting CP wakishinda zote wataongoza ligi na hii ni nafasi yao ya kurudi.
Hii code ni ya wiki nzima ? Maana naona game ya man city vs mama utd6C6ADFD
Sportybet Tren linaanza saa 2 na nusu usiku huu tufe wote
Mwisho tarehe 18 mwez huuHii code ni ya wiki nzima ? Maana naona game ya man city vs mama utd