Arsenal akiwa home ni direct winUnaweza kuweka 12 au over 1.5
Hakuna shida mkuu ila kama mpo kule mjue kabisa kutoboa kule yahitaji moyoMkuu tujuze imezingua sehemu tuihame
Usikate tamaa iko siku atajaa kwenye mfumohOngera,mimi toka nianze 2015 nimeshaliwa kama 2mil na nakulaga vipesa vidogo tu 30,000 mpaka 70,000
Kuna jamaa humu aliwah sema tuliozaliwa tarehe 26 betting haitufaiUsikate tamaa iko siku atajaa
ODDS ngapiWakuu kwema Mimi kila siku naliwaaa tu.
Naombeni odds za cashout π
oko majimaji unaitwa huku mkuuNaombeni odds mbili wakuu na yule jamaa wa corner leo vipi
Pita humuNaombeni odds mbili wakuu na yule jamaa wa corner leo vipi
Hata tano tuODDS ngapi
Tupe simulizi mkuu ulijengaje na betting utupe Moyo mkuuMhindi kanipiga sana dadek mwaka huu hela kubwa nimekula laki nane 70.
Nikaacha hiyo sabini nikapeleka lake nane kwenye ka biashara kangu kanaendelea vizuri but ile sabini yote ilikata niladeposit laki nayo kapita nayo nina 5000 tu kwa app ya bet ..nipeni maujuzi wakuu ..sitaacha kubeti kamwe nilijenga na kujiheshimisha kwa kubeti one day nitasimulia