Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu ni kampuni gani nzuri kwenye cash out mana betipawa washaanza uchawi juzi niliweka timu nne odds 6 timu tatu zika tiki ya mwisho. Ilikuwa ikiongoza dakika ya 50 ila cash out unasoma hela nilio stake wakati za juu zote zimetik asa nataka kuhama tu kampuni mana huu uchawi nA wivu wa kimaendeleo kwa wakamalia tfthl naombeni mnijuze kampuni nzuri
Kampuni nyingi mpaka ukiona wanakupa Cashout ujue umewabana pumbu kweli kweli na una % 99 ya kula pesa zao, na wanatabia ya kushusha kiwango cha Cashout halaka halaka na kwenye kupandusha wanapandisha pole pole.
 
Tukae humu leo
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-10-15-23-22-080_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2024-12-10-15-23-22-080_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    171.6 KB · Views: 2
Haya mambo bwana, hiv kweli mtu uka bet 4000 halaf ukashunde 3,000,000??? Like seriously??
Japo jamaa aliyenishawishi mambo haya ya betting niliona akishinda 800k kwa 1k!!
 
Haya mambo bwana, hiv kweli mtu uka bet 4000 halaf ukashunde 3,000,000??? Like seriously??
Japo jamaa aliyenishawishi mambo haya ya betting niliona akishinda 800k kwa 1k!!
Kuna watu wana zali sana hapo ni kama odd 700+ watu wanashinda sana tuu
 
Kabla ya mechi kuanza hizi ni odds 4+ za wazi kabisa ila nasisitiza ni kabla ya mechi kuanza....

PSV hawa ni GG yaani wafungane

Leipzig hawa ni GG yaani wafungane

Bayerliverkuzen hawa ni GG yaani wafungane...

Ukiangalia ni pesa kabla ya mechi lakini.....

Hebu tujaribu tuone ft itakuwaje ni hizo tatu tu
 
Kuna watu wana zali sana hapo ni kama odd 700+ watu wanashinda sana tuu
Hii nimeona kwa jamaa aisee,,,,, alafu ye anabonyezaga bonyezaga tu, unaogopa hata kuunga tela ila zinamlipa sana japo madau yake ni buku mbilimbili,,,,
Siku ukisita kuzifuata ndo balaa hadi unajiona huna nyota kbs
 
Back
Top Bottom