Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 568
- 1,028
Sportybet
486B37
486B37
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni nyingi mpaka ukiona wanakupa Cashout ujue umewabana pumbu kweli kweli na una % 99 ya kula pesa zao, na wanatabia ya kushusha kiwango cha Cashout halaka halaka na kwenye kupandusha wanapandisha pole pole.Wakuu ni kampuni gani nzuri kwenye cash out mana betipawa washaanza uchawi juzi niliweka timu nne odds 6 timu tatu zika tiki ya mwisho. Ilikuwa ikiongoza dakika ya 50 ila cash out unasoma hela nilio stake wakati za juu zote zimetik asa nataka kuhama tu kampuni mana huu uchawi nA wivu wa kimaendeleo kwa wakamalia tfthl naombeni mnijuze kampuni nzuri
Booking ni kadiHii Iko vizuri sema booking ni misemo siuelewisijui ni kadi
Aisee muombe GoalOver 1.5 huwa sibeti mkuu, nimwombe nani goli apo
SafiNilivyobeti mimiView attachment 3173681
nshamwomba Leipzig mkuu nshatia mzigo, wacha nisikilizie milioAisee muombe Goal
Real Madrid
Aston Villa
Leipzig injuries nyingi
Sio mbaya hii Mechi itakuwa ya migoli minginshamwomba Leipzig mkuu nshatia mzigo, wacha nisikilizie milio
Kwanini?Kwangu inagoma
Kuna watu wana zali sana hapo ni kama odd 700+ watu wanashinda sana tuuHaya mambo bwana, hiv kweli mtu uka bet 4000 halaf ukashunde 3,000,000??? Like seriously??
Japo jamaa aliyenishawishi mambo haya ya betting niliona akishinda 800k kwa 1k!!
Hii nimeona kwa jamaa aisee,,,,, alafu ye anabonyezaga bonyezaga tu, unaogopa hata kuunga tela ila zinamlipa sana japo madau yake ni buku mbilimbili,,,,Kuna watu wana zali sana hapo ni kama odd 700+ watu wanashinda sana tuu
Ni possible kaka ,kuna jamaa kwa 500 akala laki na upuuzi tena mechi 7 sijui 5, zile za ngumu kumezaHaya mambo bwana, hiv kweli mtu uka bet 4000 halaf ukashunde 3,000,000??? Like seriously??
Japo jamaa aliyenishawishi mambo haya ya betting niliona akishinda 800k kwa 1k!!
Yapo haya mambo mbona kuna mwamba kaweka mia kaka milion mbiliNi possible kaka ,kuna jamaa kwa 500 akala laki na upuuzi tena mechi 7 sijui 5, zile za ngumu kumeza