oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Corner wape wafuatao.Naombeni odds mbili wakuu na yule jamaa wa corner leo vipi
Corner wape wafuatao.Kaka naomba leo corner niweke mzigo
Nimeshampa tayari tukanywe juisi tusibil mbungi night.oko majimaji unaitwa huku mkuu
Hizo kona tuweke over au under na. Je ni kipindi cha kwanza au vyoteCorner wape wafuatao.
Corner wape wafuatao.
* liverkusen
*PSG
*Bayern M
*Atalanta
*Sporting Cp
Hapo zaid ya odds 7 ni wewe tu .
BetwayWakuu ni kampuni gani nzuri kwenye cash out mana betipawa washaanza uchawi juzi niliweka timu nne odds 6 timu tatu zika tiki ya mwisho. Ilikuwa ikiongoza dakika ya 50 ila cash out unasoma hela nilio stake wakati za juu zote zimetik asa nataka kuhama tu kampuni mana huu uchawi nA wivu wa kimaendeleo kwa wakamalia tfthl naombeni mnijuze kampuni nzuri
Real Madrid vinicius Jr ameridi kaziniHizi Game ya Leipzig, na Madrid tunazibetiaje wakuu nataka kutia mpunga mrefu sana
Usijaribu atakushangazaView attachment 3173104
Sahv Rb leipzig karudi mzigoni hyo odds mpe mazima utakuja kunishukuru
Mkuu mi kule betpawa miaka yote huwa wananifilimba ulembe tuu ila sporty bet naona pesa zinapatikana
Over 1.5 huwa sibeti mkuu, nimwombe nani goli apoReal Madrid vinicius Jr ameridi kazini
ATALANTA nae wa moto mnooo ila Beki zake hazipo vyema sana
Hii ipe options hizi:-
Real Madrid win or Draw
Real Madrid or GG
Real Madrid or over 2.5
Leipzig vs Aston villa
Ipe over 1.5 kisha tulia
Huyooo muoga..Hii si misemo ya kiume unathubutu kusema unafilimbwa na wewe mwanaume hata kama ulimaanaishankupigwa tumia neno sahihi
Hii Iko vizuri sema booking ni misemo siuelewisijui ni kadi
Mpe aongoze corner full time.Hizo kona tuweke over au under na. Je ni kipindi cha kwanza au vyote