Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Paripesa ,,, jana kuweka ilikuwa active ila kutoa miamala imekwama ,,,, hawajalipa wameandika approved tu
Mara ya kwanz sikuamin pale washkaj humu ndan wanakulaum unawasha
Wewe jamaa acha uzinguaji unawashawishi watu na hiyo app ya ******* kmmk alaf watu tunakutana na utapeli hela yang iko approved toka jana usk had leo kmmk alaf bado unaleta mambo ya watu watapeliwe na paripesa acha hizo man,mara ya kwanz nilihis washkaj wanakuonea wivu lkn nmethibitisha paripesa kmmk zenu ni matapeli
Tena wako moto kweli kweliMSimu jana Girona alitupa hela na sasa ni zamu ya Athletic Bilbao wako Form sana
usikia kwa kenge au ng'engeMara ya kwanz sikuamin pale washkaj humu ndan wanakulaum unawasha
Wewe jamaa acha uzinguaji unawashawishi watu na hiyo app ya ******* kmmk alaf watu tunakutana na utapeli hela yang iko approved toka jana usk had leo kmmk alaf bado unaleta mambo ya watu watapeliwe na paripesa acha hizo man,mara ya kwanz nilihis washkaj wanakuonea wivu lkn nmethibitisha paripesa kmmk zenu ni matapeli
Hawa lille na madirid mbona hawaeleweki?
Kabisa mkuu yaani wanaongoza gori mbili alafu ghafla tu pap saleLille ******* kwei
Sasa mateso yote hayo yanini mkuu, Yani uweke Hela uanze kutuma sijui ma email manini , mbona uku sijawah sikia lawama kutoka kampuni zengine, sportbety mbona Haina hzo mambo Yani una deposit na ku withdrawal utakavo ww , hyo kampuni ya mchongo tu , kampuni za mrusi za mchongo , nshawah weka Hela afu kwny kiwithdrawal hakuna mitandao ya bongo ya simu , hzo lawama za Kila siku uku basi jua Wana kasoro sana kwny maswala ya Hela naeza SEMA ni matapeli, Kila ukipita Uzi wanalalamika paripesa tu na si kampuni zengineView attachment 3174671
Mkuu na mimi nilikumbwa na changamoto ya kutopokea hela, ila niliwasiliana nao kwa kutumia email hii [email protected] ingawa mimi sijatoa leo hii niliwithdraw tarehe 6 mwezi huu. Labda ngoja ni withdraw na leo hii. PariPesa hawawezi kukutapeli sema tu ni issue ya mtandao. Hela yako watarudisha na utatoa upya.
kwangu mm kwa haya makampuni ya mrusi hapa bongo aliye na nafuu na ina utulivu kwenye ishu ya pesa ni Betwinner tu angalau anaaminika kuliko hao wengineSasa mateso yote hayo yanini mkuu, Yani uweke Hela uanze kutuma sijui ma email manini , mbona uku sijawah sikia lawama kutoka kampuni zengine, sportbety mbona Haina hzo mambo Yani una deposit na ku withdrawal utakavo ww , hyo kampuni ya mchongo tu , kampuni za mrusi za mchongo , nshawah weka Hela afu kwny kiwithdrawal hakuna mitandao ya bongo ya simu , hzo lawama za Kila siku uku basi jua Wana kasoro sana kwny maswala ya Hela naeza SEMA ni matapeli, Kila ukipita Uzi wanalalamika paripesa tu na si kampuni zengine
Yaani huyu ndio watulaza na viatu kweli 🤣🤣🤣Swwwwaaaaa lile
mbona kashinda mkuu?Yaani huyu ndio watulaza na viatu kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio ila katuweka kwenye wakati mgumu sana alipoanza kipindi cha pili wakati alikua anaongozambona kashinda mkuu?