AiseeeNgumu kumeza
Man City Win
Aseno muombe over 1.5
Stake what you can afford to lose 🙏
Kivipi mkuuWatu jamii yenu ndio mnaofanya sisi wenye mitaji mikubwa tufungiwe cash out
Sawa mkuu ila nafikiri inategemea match nani ana cheza na nani. Ukizingatia odds alizo kua amepewa, na jinsi alivyo pata matokeo mapema alafu huyo kibonde anarudisha magoli dakika tano nyingi.Mpira haupo hivyo kama unavyofikiri na kaa ukijua timu inaweza ikashinda dakika yoyote na inaweza kugunguwa dakika yoyote ile chamuhimu husiamini matokep mpaka muamuzi amalize mechi.
Ndie pekee yake kanikosesha mpunga, match 16 zote ila yeye nilimpa over lakini hata goli mojaBenfica na yeye kama mlima wa moto kwake na Bologna
Betting sio rahisi km unavyofikiri.Nimeamia huku
Naombeni odds 1.5 nianze kazi leo
Timu zote zipate goli kipindi cha kwanza1x2 both to score first half (1-yes) wakuu hiyi ina maana gani kwenye betting nimeikuta betpawa naona ina odds nyingi yaan timu 3 ods buku 6 nataka niamishe kambi niweke hapa nipen ufafanuzi kwanza kuna faa????
PARI PESA NI MATAPELIView attachment 3174137
Code👉 X122F
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate 300,000 Bure Ukideposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Basketball Za Mchana 🏀🏀🏀
Siku ya jana imepita, Benfica na ManCity wamenilaza pabaya, wakuu tupeni SGR ya week end, kazi iendelee, KUKATA TAMAA MWIKO
PARI PESA NI MATAPELIView attachment 3174290
Code👉 MZSEF
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Telegram👉 Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
Asante nataka niweke kambiTimu zote zipate goli kipindi cha kwanza
Karibu mkuumkuu naomba tutete kidogo pm kama hautojali
Yaani mzee bado unambetia man cityMancity qumaaaa
Sijawahi ieleweke hii inachezwaje hebu leta mwongozo mkuuKuanzia leo hadi tatehe 24 tufanyeni msako wa hela ya Xmass kwa mtaji wa buku tujaribu kuzungusha ROLLOVER ya wastani wa odd 2, kwamana ya kwamba tucheze na odd 1.5 hadi odd 2 na point
Malengo yawe 1M+
Weka buku tu kwenye kambuni ambayo huitumii kubet kila siku halafu tuanze safari
Sio kazi RAHISI hata kidogo na inataka moyo kuvumilia kamtaji kakinona kila odd utaiona NGUMU😂
LAKINI kujaribu sio KUSHINDWA
Hata hivyo mbona tuna liwa tu kila siku..... why not
Humu manguli wa odd 1.5 hadi 2 wapo wengi
Leo binafsi jioni nitaanza kwa kutoa odd -2 halafu siku zinavyo kwenda wadau wengine tutashauriana tutoke vipi
Nawasilisha