Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 725
- 1,230
Sportybet
EE77A2
💵💵💵💵💵💵💵
EE77A2
💵💵💵💵💵💵💵
Kuna mkuu mmoja kapost hii idea hapo na kaweka huu mfano wa chart ulivyo 👇👇👇Sijawahi ieleweke hii inachezwaje hebu leta mwongozo mkuu
Odd 1 nayo ni ngumu?Betting sio rahisi km unavyofikiri.
Ukifika siku ya 10 kanji analamba mtaji wote ulodunduliza kwa vumbi na jashoKuna mkuu mmoja kapost hii idea hapo na kaweka huu mfano wa chart ulivyo 👇👇👇
Mkuu ukifika day 10 ni mafanikio makubwa mmnoUkifika siku ya 10 kanji analamba mtaji wote ulodunduliza kwa vumbi na jasho
Mkuu Mbona nikijaribu kukucheki pm imagination. Ningeomba Labda unicheki kwa pmMkuu ukifika day 10 ni mafanikio makubwa mmno
Hapo uwe unajiongeza hata ukifika day 5 ukaoma inatosha unavuta hela yako
Nimewahi kwenda hadi day 9 nikavuta mkwanja wangu saafi kwa stake ya 10k
Ila mara kibao nishapigwa ama ukianza tu, au ukifika day 2 au 4 wanapitanayo
Bahati na sibu
Mkuu nimejaribu Mara kadhaa kukucheki imagination. Ningeomba Labda unicheki kwa pm yanguMkuu ukifika day 10 ni mafanikio makubwa mmno
Hapo uwe unajiongeza hata ukifika day 5 ukaoma inatosha unavuta hela yako
Nimewahi kwenda hadi day 9 nikavuta mkwanja wangu saafi kwa stake ya 10k
Ila mara kibao nishapigwa ama ukianza tu, au ukifika day 2 au 4 wanapitanayo
Bahati na sibu
Mkuu PM hazifungukiMkuu nimejaribu Mara kadhaa kukucheki imagination. Ningeomba Labda unicheki kwa pm yangu
Sasa unalikuta wapi hilo jedwali? Kwamba lipo kwenye app au vipiKuna mkuu mmoja kapost hii idea hapo na kaweka huu mfano wa chart ulivyo 👇👇👇
Anelekeze wakuuKila anaeleta wazo la Rollover huwa harudi🤣🤣🤣🤣anapotea kimya kimyaaaaa
Yaani umaset stake au mtaji Fulani mfano Buku au kiasi chochoteNaomba anayejua hiyo
Anelekeze wakuu
Odds za KimkakatiJana nmbetia arsenal mwanamke katika mkeka wangu kumbe hailuwa mechi Jana ni leo... nikadhani Nitawekrwa cashout hata 250k hivi lakini naona hadi muda huu jamaa wamegoma kuniwekea kacashout
Okay sasa hapo ndio nimeelewa. Maana toka mwanzo nilijua labda ni programu ambayo inajitegemea tofauti na tunavyo betYaani umaset stake au mtaji Fulani mfano Buku au kiasi chochote
Kisha unacheza Mkeka wa Kimkakati,wengi hupenda kucheza Odds 2 tuuuu,kisha zikitoa basi pesa yake ulioshinda UnaBET Tena Odds mbili,ukila tena unaiweka pesa yote unayoshinda Katika ODDS mbili ,tunaendelea hivyo hivyo kama ni mwezi kisha unatulia
Ila kila mwenye mpango huo ikifika siku ya 3 akizidi siku kumi Bahati, Muhindi anasepa na pesa yote.
Watu zaidi ya 50 walikuwa na chati humu mpaka leo hawajarudi Tena na wazi hilo🤣🤣🤣🤣. Wengine Mechi ya mwanzo tu Muhindi kapita na pesa yote
So,ni mkakatiki kimtizamo ni mwepesi mnoo ila Ingia NDIO utajua,ila narejea kusema bado betting ni Bahati
Aaah mi nikitaka nicashout nipate ya kubet leo kama hawacashout muda huu naisubiri tu babaOdds za Kimkakati
Cashout wataifungua Mechi ilianza,ila unaweza kukuta 150,000
Muhim Fanya regular check up,wakifungua tu pita nayo licha ya kwamba Arsenal ya Kinamama wapo vizuri
Roll over imekuwa ngumu kwa sababu wengi hawana utulivu na pia Kuna ile Hali ya kutamani kuwini haraka hizi siku ni nyingi mkamalia kuvumiliaKuna mkuu mmoja kapost hii idea hapo na kaweka huu mfano wa chart ulivyo 👇👇👇
Mimi naweka 10k , nakusubiriniKuanzia leo hadi tatehe 24 tufanyeni msako wa hela ya Xmass kwa mtaji wa buku tujaribu kuzungusha ROLLOVER ya wastani wa odd 2, kwamana ya kwamba tucheze na odd 1.5 hadi odd 2 na point
Malengo yawe 1M+
Weka buku tu kwenye kambuni ambayo huitumii kubet kila siku halafu tuanze safari
Sio kazi RAHISI hata kidogo na inataka moyo kuvumilia kamtaji kakinona kila odd utaiona NGUMU😂
LAKINI kujaribu sio KUSHINDWA
Hata hivyo mbona tuna liwa tu kila siku..... why not
Humu manguli wa odd 1.5 hadi 2 wapo wengi
Leo binafsi jioni nitaanza kwa kutoa odd -2 halafu siku zinavyo kwenda wadau wengine tutashauriana tutoke vipi
Nawasilisha