Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mkuu hvi unajua jamaa alisema tuweke ya kutosha etMkuu ungeweka 50k sasa si ungevunja server za Maxence Melo ??
kabisa toka tar 10 sa5 usiku hadi leo hela yangu iko approved yan ni wasenge na hapo ndio nmedeposit siku ya kwanz na nikawithdrw kilichotokea nibusenge km huoParipesa ni matapeli nawashauri wakamaria msibetie Paripesa
Sasa ya kutosha halaf wewe unaweka 5k? Ndio maana imekula kwako labda!?!Mkuu hvi unajua jamaa alisema tuweke ya kutosha et
Wee jamaa ulitaka niweke shi ngapi sasa..?Sasa ya kutosha halaf wewe unaweka 5k? Ndio maana imekula kwako labda!?!
Ila wewe unanifanya nacheka sanaπππMkuu unajua jamaa alisema ya uhakika alafu badae anasema ety kona wametoa droo hata wewe ungekubali..?
ππππ€Έπ€ΈIla unanipa Raha sana toka asubuhiKumbe wewe mdamu jau et
ππππ Mkuu kila mtu kawa mbaya humu???hebu tuma Kwanza huo mkeka tuone Kama uliweka iyo buku tanoπππWee jamaa ulitaka niweke shi ngapi sasa..?
We jamaa kumbe ujitambui et...?
πππMkuu ungeweka 50k sasa si ungevunja server za Maxence Melo ??
SASA mkuu kosa cyo lake kwani yeye ndo Katia hizo draw??πππMkuu unajua jamaa alisema ya uhakika alafu badae anasema ety kona wametoa droo hata wewe ungekubali..?
Ungeweka hata kilo kwa uhakika zaidi!.πππWee jamaa ulitaka niweke shi ngapi sasa..?
We jamaa kumbe ujitambui et...?
πππSi angetushtaki wote humuUngeweka hata kilo kwa uhakika zaidi!.πππ
Tungesambaziwa arrest warrantyπππSi angetushtaki wote humu
πππAkupe nani sasa ππ si uende kwa mhindi
Kabisa yaaniTungesambaziwa arrest warranty
Sasa wewe ya kutosha ndo ukaweka 5k hahahaaaMkuu hvi unajua jamaa alisema tuweke ya kutosha et
Mikeka yako unakuwa serious kuiandaa au unabonyeza tu!?Sportybet
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
C982E2
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ahsante sana naendelea kujifunza piaHiyo maana yake ni kwamba kuanzia wakati wowote wa mchezo ucahague matokeo yanayoweza kupatikana wakati mchezo unaendelea
Mfano ukichangua 1-0 maana yake ni lazima home team aanze kufunga ili score board isome 1-0 hata kama akiendelea kufunga na mwisho ikawa 3-2
Na ikiwa Away ataanza kufunga ni lost kwasababu hakuna muda ambao score board itasoma 1-0
Ukichagua 2-2 maana ya ni lazima ndani mchezo itokee score board inasoma 2-2 hata kama game itakwisha 4-2
Sijui kama nimeeleza vizuri
Washachukua changu mkuuIla wewe unanifanya nacheka sanaπππ