Ila we jamaa toka jana unalalamika na 5k watu tunaweka single bet 100k unampa Barcelona na mbwa wale wanapita nayo shwaaaa na unakausha kama hakijatokea kituKumbe ndo tabia yenu..
Humtoniona nachukua code humu tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila we jamaa toka jana unalalamika na 5k watu tunaweka single bet 100k unampa Barcelona na mbwa wale wanapita nayo shwaaaa na unakausha kama hakijatokea kituKumbe ndo tabia yenu..
Humtoniona nachukua code humu tena
Hiyo maana yake ni kwamba kuanzia wakati wowote wa mchezo ucahague matokeo yanayoweza kupatikana wakati mchezo unaendeleaWakuu mwenye uelewa na hii option tafadhali
MKuu mimi sijui lolote lile kuhusu betting huwez amini, hata hii niliweka tu baada ya kutaka kujua hii kitu huwa inafanyaje kazi.Hii kampuni ndo nilianza hz mishe za kubet,ilikuwa ikifika saa 4 asubuh wanatuma hela vzur tu,kuna mwanafunz wang aliwah kuwapiga laki 7 nae alikuwa na wasi wasi kama wewe lakin ilivyofika saa 4 mpunga ukaingia
Lakin nakushaur achana na hyo kampuni maana haina machaguo mengi,njoo kwenye hz kampuni za kudeposit kama sportybet zina machaguo ya kutosha maana siku hz timu zimeshachanganyikiwa,kwenye ligi haziwez win zote kama ulivyoweka hvyo
Kumbe na wewe familia yao...Mkuu utaweza kunilipa kweli ukitaka nikusimamie kesi yako?ikiwa buku tano tu unaipigia kelele hivyo???kaa Kwa kutulia ndugu.
Nimeona chief sema mimi sina ninalolijua kuhusi hiz betting ndio manaUnalipwa mkuu sema, Hawa M-bet bado wako vilevile au wamebadirika ukishinda hela Leo mpaka kesho yake
Ku bett kama hivyo hapoMkuu ulijarbu kufanyaje
Kumbe wewe mdamu jau etUsichukue Acha wengine tuchukue😀😀🤸🤸
Mkuu unajua jamaa alisema ya uhakika alafu badae anasema ety kona wametoa droo hata wewe ungekubali..?Ila we jamaa toka jana unalalamika na 5k watu tunaweka single bet 100k unampa Barcelona na mbwa wale wanapita nayo shwaaaa na unakausha kama hakijatokea kitu
Game za leo hazielewiROUND ONE ✅
🙏
Get ready for Round 2
Mkuu mi nishapagawa hapa ujueKu bett kama hivyo hapo
Kwann tena chief? Umepiga pesa mingi sana au umepigwa?Mkuu mi nishapagawa hapa ujue
Niliweka elufu tano kakaKwann tena chief? Umepiga pesa mingi sana au umepigwa?
Ahahahah..halaf ikawaje???Niliweka elufu tano kaka
Nimeambiwa et LoSsAhahahah..halaf ikawaje???
Bora umsaidie Mr pipa kuchangamsha jukwaaa,,,,, ckuhiz kapoa sana,,, cjui kanji kamvuruga sanaMkuu mi nishapagawa hapa ujue
Mkuu ungeweka 50k sasa si ungevunja server za Maxence Melo ??Nimeambiwa et LoSs
Alafu mkeka umeamia huku kwengine na niliweka alfu tano
Mkuu kuna mtu katuma codes alafu anasema tukutane kesho.Bora umsaidie Mr pipa kuchangamsha jukwaaa,,,,, ckuhiz kapoa sana,,, cjui kanji kamvuruga sana