Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Alafu asubhi ulikua unatafutwa vipi ushaonana naeKubet ni kubahatisha kwahiyo Acha tuendelee kubahatisha😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu asubhi ulikua unatafutwa vipi ushaonana naeKubet ni kubahatisha kwahiyo Acha tuendelee kubahatisha😀😀😀
Hii kweli ni living hellWelcome to the living hell
Hii kampuni ndo nilianza hz mishe za kubet,ilikuwa ikifika saa 4 asubuh wanatuma hela vzur tu,kuna mwanafunz wang aliwah kuwapiga laki 7 nae alikuwa na wasi wasi kama wewe lakin ilivyofika saa 4 mpunga ukaingiaHatimae wamenilipa M-Bet. Nilikua siaminig hiz mambo na this was my first time nikasema acha nijaribu
They have credited my m-pesa
View attachment 3175559
View attachment 3175560
Kumbe hiz mambo ni za kweli, nikajuaga uzushi tu
Nani aliemleta huyu mchaga kwenye hz biasharaKwanini alinishawishi..
Mi naweka Alfu tano yangu alafu badae anasema et kona wametoa droo hv wee ungekua wewe ungekubali au..?
Sio mchaga mimi mkuu..Nani aliemleta huyu mchaga kwenye hz biashara
Ebu mpeni buku 5 yake atoe kelele humu
Sio mchaga mimi mkuu..
Ila nataka pesa yangu hapa...
Jamaa anasema tuweke pesa ya maana ukute yeye stake aliweka 100
Yaan ubeti droo alafu uweke 1M ni akili auView attachment 3175626
Kuna huyu aliambiwa weka hela ya maana akaweka 1 mil na akalost na hakusumbua hv,
Duuu huyu jmaaa chuma kweli kweliView attachment 3175626
Kuna huyu aliambiwa weka hela ya maana akaweka 1 mil na akalost na hakusumbua hv,
Mmmh mkuu yaani 1m alfu imekuaje kaandikiwa UMEKOSA ...?View attachment 3175626
Kuna huyu aliambiwa weka hela ya maana akaweka 1 mil na akalost na hakusumbua hv,
Huyu itakua alidanganywa ni fixed games mimi sijawai kubet draw wala sitawaiYaan ubeti droo alafu uweke 1M ni akili au
Hii ni kama correct score, tabiri mechi itaishaje kama ni 2-1 nkWakuu mwenye uelewa na hii option tafadhali
Kuonana na Nani?Alafu asubhi ulikua unatafutwa vipi ushaonana nae
Kuna wababa kule jukwaa la siasaKuonana na Nani?
kabisaaaHuyu itakua alidanganywa ni fixed games mimi sijawai kubet draw wala sitawai
Mkuu alokudhulumu niletee kazi iyo tumchukulie hatua😀😀😀🤸MWANAUME UNALALAMIKA SANA KHAA ELFU TANO NDO KELELE YOTE IYO INGEKUWA UYO MWENZIO WA MILIONI LEO SI TUNGEZIMA DATA KHAAMmmh mkuu yaani 1m alfu imekuaje kaandikiwa UMEKOSA ...?
Yaani huyu nae codes katoa wapi ukute katoa humu humu najua mshamchezea mchongo mwenzenu..
Hili jukwaa litafungwa mnatuzulumu sana
Mi sidili na siasa nadili na Sheria una ishu ya kisheria njoo tufanye kazi...siasa hapana,mwambie aje Legal Unit atanikuta nimejaa teleKuna wababa kule jukwaa la siasa
Wewe unajua nimeipataje hiyo elufu tano...Mkuu alokudhulumu niletee kazi iyo tumchukulie hatua😀😀😀🤸MWANAUME UNALALAMIKA SANA KHAA ELFU TANO NDO KELELE YOTE IYO INGEKUWA UYO MWENZIO WA MILIONI LEO SI TUNGEZIMA DATA KHAA