kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 623
- 606
Ila wewe mshenzi sana eti 🤣🤣🤣 haiwezekani kona kutoka drooNataka pesa angu bloo..
Mi sio wa hivo naona ulifanya vile makusudi kuniingiza mkenge...
Aiwezekani kona zitoke droo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe mshenzi sana eti 🤣🤣🤣 haiwezekani kona kutoka drooNataka pesa angu bloo..
Mi sio wa hivo naona ulifanya vile makusudi kuniingiza mkenge...
Aiwezekani kona zitoke droo
ROUND ONE ✅ROUND ONE;
Hapa dhamana kubwa nimempa Chelsea 🙏
Mbona code humu ukibeba zote wanazotuma kuna ambazo zinatoa..Kama Leo asubuhi SPORTYBET nimekuta boom nimewin na code nilichukua humu nafikiri alikuwa kama cyo the Eric basi okomajimaji ama kentaro sikumbuki ni code ya Nani Ila nimewin....Iz mechi mnazotoa mbona hamtoagi code jmn mnazoleta humu zote tunakula za usooooo
Mwanaume Kama Jana ulichukua code humu kuna ambazo zimetoa,,SASA wewe kalia malalamiko na buku tano yako😀😀😀🤸🤸🤸Kuna wanaume uwanjani huko mpK mda huu 84 mins et 0-0
Mpaka unajiuliza kweli wana mbupu hawa au wanajua kupuyanga tuu
Moja jifunze kutengeneza mkeka wakoIz mechi mnazotoa mbona hamtoagi code jmn mnazoleta humu zote tunakula za usooooo
Sawa chief. Basi acha nione kama kweli watanilipa na mimi, maana nimejaribu jana ku bet na mambo yakawa kama hiviUnapewa hela yako tena yooooooote kabisa,labda ubetie vikampuni vya ajabu ajabu kama cjui paripesa,andika umeumia.
Kuna wengi ukichukua picha inaaza mkeka unaaza kuchanikaMbona code humu ukibeba zote wanazotuma kuna ambazo zinatoa..Kama Leo asubuhi SPORTYBET nimekuta boom nimewin na code nilichukua humu nafikiri alikuwa kama cyo the Eric basi okomajimaji ama kentaro sikumbuki ni code ya Nani Ila nimewin....
Jamaa kafanya makusudi yule...Ungetengeneza mkeka wako ili ule.
Jamaa kanipa kodi za mchongo yule juu kuleIla wewe mshenzi sana eti 🤣🤣🤣 haiwezekani kona kutoka droo
Wee madam kubet sio kazi....Mwanaume Kama Jana ulichukua code humu kuna ambazo zimetoa,,SASA wewe kalia malalamiko na buku tano yako😀😀😀🤸🤸🤸
Kwani wewe unajua betting ni mchezo wa uhakika? au wa kubahatisha?Jamaa kanipa kodi za mchongo yule juu kule
Alafu alisema uhakika
Welcome to the living hellHatimae wamenilipa M-Bet. Nilikua siaminig hiz mambo na this was my first time nikasema acha nijaribu
They have credited my m-pesa
View attachment 3175559
View attachment 3175560
Kumbe hiz mambo ni za kweli, nikajuaga uzushi tu
Mkuu Hell tena??? I was just trying to se if this was a true thing.Welcome to the living hell
Kwanini alinishawishi..Kwani wewe unajua betting ni mchezo wa uhakika? au wa kubahatisha?
Mkuu ulijarbu kufanyajeHatimae wamenilipa M-Bet. Nilikua siaminig hiz mambo na this was my first time nikasema acha nijaribu
They have credited my m-pesa
View attachment 3175559
View attachment 3175560
Kumbe hiz mambo ni za kweli, nikajuaga uzushi tu
View attachment 3175493
600K BOOOOOOOMMMM ✅✅✅✅✅💯💯💯✅✅📌💯✅
Jiunge PariPesa Ili Uanze Kushinda Nasi. Jiunge Hapa 👇.
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.
Unalipwa mkuu sema, Hawa M-bet bado wako vilevile au wamebadirika ukishinda hela Leo mpaka kesho yakeSawa chief. Basi acha nione kama kweli watanilipa na mimi, maana nimejaribu jana ku bet na mambo yakawa kama hivi
1. Huu ndio ulikua mkeka wangu, nikaweka stake ya 20k
View attachment 3175537
2. Kulipokucha usiku wa leo nikachungulia jikoni nimekutana na mambo yako hivi
View attachment 3175538
Ssasa nasubiri kuona kama watatupia hiyo pesa yangu
Kubet ni kubahatisha kwahiyo Acha tuendelee kubahatisha😀😀😀Wee madam kubet sio kazi....
We endelea hv hv