Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kuna wanaume uwanjani huko mpK mda huu 84 mins et 0-0
Mpaka unajiuliza kweli wana mbupu hawa au wanajua kupuyanga tuu
Mpaka unajiuliza kweli wana mbupu hawa au wanajua kupuyanga tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuombea watoe asee dah,Mwenzio nawaombaa kina olyampacos goli moja tu nimpige muhindi 500k
Hilo goli litokee wapi?mchawi leo hoffenhein,
over 1.5 hatoi,
win hatoi
takataka kabisa!
(acha nilale, nikiendelea kuperuzi nitashawishika kurebet)
Umesaidia kununua straika?Mwenzio nawaombaa kina olyampacos goli moja tu nimpige muhindi 500k
Sio mimi tatizo uchawi/unabii nilio nao ndani yangu au we umeanza nijua jana humu ndani nikisema lazima iwe hivyo hakuna wa kupingaUnawezaje kuomba mabaya dhidi ya mtu ambae hata kuimagine appearance ni ngumu? Anyway, na ikawe hivyo mkuu
Ungekua unaona na timu za ushindi ingekusaidia sanaSio mimi tatizo uchawi/unabii nilio nao ndani yangu au we umeanza nijua jana humu ndani nikisema lazima iwe hivyo hakuna wa kupinga
Sio mimi Tatizo mnanipuuzaUngekua unaona na timu za ushindi ingekusaidia sana
wamebana make***mpaka sahii hakuna goliHii mechi ya Rangers na Spurs itatoa goli nyingi sana
Timu zote zinafunguka
Day 1WAkamalia haka kambinu ni kazuri tusikaache
Day 1_1.5×10,000=15,000
Day 2_1.5×15000=22,500
Day 3_1.5×22500=33,750
Day 4_1.5×33750=50,625
Day 5_1.5×50625=75,937
Day 6_1.5×75,937=113,906
Day 7_1.5×113,906=170859
Day 8_1.5×170859=256,289
Day 9_1.5×256,289=384,434
Day 10_1.5×384,433=576,650
Sio lazima ufike siku 10,hii ni bora kuliko treni
Ndiyo game niliyo cheza 3+ ikachana nilisubiri goli moja tu.Hii mechi ya Rangers na Spurs itatoa goli nyingi sana
Timu zote zinafunguka
Iz mechi mnazotoa mbona hamtoagi code jmn mnazoleta humu zote tunakula za usoooooNdiyo game niliyo cheza 3+ ikachana nilisubiri goli moja tu.
Sio mbaya mmoja umetoa.
Natoaga code siku moja moja japo ni mpaka niwe nimestake, na huwa sinaga mzigo wa odds....mi ni muumini wa odss 5 shuka chini.....jana nimewin odds 5 💥💥💥💥💥💥💥 though kuna mkeka wa tamaa odds 17 nimelost....Iz mechi mnazotoa mbona hamtoagi code jmn mnazoleta humu zote tunakula za usooo
View attachment 3175283
BET OF THE DAY ON PARIPESA
Code👉 V4XT3
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijiunga Na Kudeposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
Ungetengeneza mkeka wako ili ule.jamaa kama kala deal nao ili wanipune pesa yangu