Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
OGOPA PARIPESA❌❌❌❌❌❌❌
Vipi unataka kushindana na mshana jr kuwa na post nyingi Jf?

Umeweka tangu huko ulikotoka tumeona, naona sana unachofanya hapa ni kushindana na SER maana hakuna mwingine zaidi yake anaweka code za hiyo kampuni.

Inatosha ila kama ni kuwa na wewe unakuja na C&P kila page na iwe heri kwako.
 
share_1734030267775.jpeg
 
NATAKA AACHE KULETA KAMPUNI ZA KITAPELI HUMU

PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
OGOPA PARIPESA❌❌❌❌❌❌❌
 
Kuna wanaume uwanjani huko mpK mda huu 84 mins et 0-0
Mpaka unajiuliza kweli wana mbupu hawa au wanajua kupuyanga tuu
 
mchawi leo hoffenhein,
over 1.5 hatoi,
win hatoi

takataka kabisa!

(acha nilale, nikiendelea kuperuzi nitashawishika kurebet)
 
Unawezaje kuomba mabaya dhidi ya mtu ambae hata kuimagine appearance ni ngumu? Anyway, na ikawe hivyo mkuu
Sio mimi tatizo uchawi/unabii nilio nao ndani yangu au we umeanza nijua jana humu ndani nikisema lazima iwe hivyo hakuna wa kupinga
 
Back
Top Bottom