Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuanzia leo hadi tatehe 24 tufanyeni msako wa hela ya Xmass kwa mtaji wa buku tujaribu kuzungusha ROLLOVER ya wastani wa odd 2, kwamana ya kwamba tucheze na odd 1.5 hadi odd 2 na point
Malengo yawe 1M+

Weka buku tu kwenye kambuni ambayo huitumii kubet kila siku halafu tuanze safari

Sio kazi RAHISI hata kidogo na inataka moyo kuvumilia kamtaji kakinona kila odd utaiona NGUMU😂
LAKINI kujaribu sio KUSHINDWA
Hata hivyo mbona tuna liwa tu kila siku..... why not

Humu manguli wa odd 1.5 hadi 2 wapo wengi
Leo binafsi jioni nitaanza kwa kutoa odd -2 halafu siku zinavyo kwenda wadau wengine tutashauriana tutoke vipi

Nawasilisha
ROUND ONE;

Hapa dhamana kubwa nimempa Chelsea 🙏
 

Attachments

  • AEE991EF-06A6-4260-B1C3-509B2469531B.png
    AEE991EF-06A6-4260-B1C3-509B2469531B.png
    197 KB · Views: 5
Back
Top Bottom