Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Mtajuana wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rollover siyo mchezo, ni ya moto kwelikweli.Kila anaeleta wazo la Rollover huwa harudi🤣🤣🤣🤣anapotea kimya kimyaaaaa
Aaah mi nikitaka nicashout nipate ya kubet leo kama hawacashout muda huu naisubiri tuOdds za Kimkakati
Cashout wataifungua Mechi ilianza,ila unaweza kukuta 150,000
Muhim Fanya regular check up,wakifungua tu pita nayo licha ya kwamba Arsenal ya Kinamama wapo vizuri
Mwamba nipo hapa nimeanza na mia juzi ila nabeti liverollover siyo mchezo, ni ya moto kwelikweli.
humu ndani mtu tunayemwona mtaalam wa kubet (Ser), alianza programme ya rollover odds 2 daily. siku ya 2 tu ikachana. tangu siku hiyo hakuzungumzia tena mambo ya rollover.
rollover noma
Mkuu ni kweli. Ila nataka tujaribu roll Over Ya Siku 10, kwa mtaji wa 10000. Suala ni Tujaribu Tu.rollover siyo mchezo, ni ya moto kwelikweli.
humu ndani mtu tunayemwona mtaalam wa kubet (Ser), alianza programme ya rollover odds 2 daily. siku ya 2 tu ikachana. tangu siku hiyo hakuzungumzia tena mambo ya rollover.
rollover noma
😀😀😀😀Yule jamaa aliyetuma code za corner jana niakajilipua na elfu tano yangu..
Nataka pesa yangu naona pm umefunga
Nilikuwa siko humu zaidi ya mwaka,... kumbe na ID umebadili mkuu?!View attachment 3175177
Code👉 AP2M3
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijiunga Na Kudeposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Telegram👉 Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
jamaa kama kala deal nao ili wanipune pesa yangu😀😀😀😀
chelsea anashindantena nyingi tuYani nimeweka Chelsea win toka asubui ila kwa kikosi nilichokiona mkeka ni lost tayari
Pole mwaya Yani nimecheka mpaka basijamaa kama kala deal nao ili wanipune pesa yangu
Madam na wewe una bet au...?Pole mwaya Yani nimecheka mpaka basi
Anashindaga CORNER BAR, nenda pale utamkutaYule jamaa aliyetuma code za corner jana nikajilipua na elfu tano yangu..
Nataka pesa yangu naona pm umefunga
Ndyo nabet nachukua code humuMadam na wewe una bet au...?
Watu wa humu hawana wema..Anashindaga CORNER BAR, nenda pale utamkuta
Humu ndani kuna watu hawajiheshimu wanatoa code kumbe wenyewe hata hawa tumiiNdyo nabet nachukua code humu
😀😀😀Watu wa humu hawana wema..
Ukute yeye zile codes hata akuweka ujue