Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hatimae wamenilipa M-Bet. Nilikua siaminig hiz mambo na this was my first time nikasema acha nijaribu
They have credited my m-pesa
View attachment 3175559
View attachment 3175560
Kumbe hiz mambo ni za kweli, nikajuaga uzushi tu
Hii kampuni ndo nilianza hz mishe za kubet,ilikuwa ikifika saa 4 asubuh wanatuma hela vzur tu,kuna mwanafunz wang aliwah kuwapiga laki 7 nae alikuwa na wasi wasi kama wewe lakin ilivyofika saa 4 mpunga ukaingia

Lakin nakushaur achana na hyo kampuni maana haina machaguo mengi,njoo kwenye hz kampuni za kudeposit kama sportybet zina machaguo ya kutosha maana siku hz timu zimeshachanganyikiwa,kwenye ligi haziwez win zote kama ulivyoweka hvyo
 
Sio mchaga mimi mkuu..
Ila nataka pesa yangu hapa...

Jamaa anasema tuweke pesa ya maana ukute yeye stake aliweka 100

FB_IMG_1728830858234.jpg

Kuna huyu aliambiwa weka hela ya maana akaweka 1 mil na akalost na hakusumbua hv,
 
Wakuu mwenye uelewa na hii option tafadhali
 

Attachments

  • Screenshot_20241213-005955_Megapari.png
    Screenshot_20241213-005955_Megapari.png
    748.6 KB · Views: 3
Mmmh mkuu yaani 1m alfu imekuaje kaandikiwa UMEKOSA ...?

Yaani huyu nae codes katoa wapi ukute katoa humu humu najua mshamchezea mchongo mwenzenu..

Hili jukwaa litafungwa mnatuzulumu sana
Mkuu alokudhulumu niletee kazi iyo tumchukulie hatua😀😀😀🤸MWANAUME UNALALAMIKA SANA KHAA ELFU TANO NDO KELELE YOTE IYO INGEKUWA UYO MWENZIO WA MILIONI LEO SI TUNGEZIMA DATA KHAA
 
Mkuu alokudhulumu niletee kazi iyo tumchukulie hatua😀😀😀🤸MWANAUME UNALALAMIKA SANA KHAA ELFU TANO NDO KELELE YOTE IYO INGEKUWA UYO MWENZIO WA MILIONI LEO SI TUNGEZIMA DATA KHAA
Wewe unajua nimeipataje hiyo elufu tano...
Nimejinyima mengi alafu then mtu anakuja kusema et kona zometo draw...

Alafu unamtetea sana wewe.
Mi nataka changu hapa
 
Back
Top Bottom