Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu samahani naomba kuuliza tena. Kwa mfano ukiwe 0.5 ikisha funga goli likitokea utaona wanaweka tiki. Sasa je na hi kama umechagua 1:0 goli likifungwa wanaweka tiki? Au wanasubili match iishe?
 
Mkuu samahani naomba kuuliza tena. Kwa mfano ukiwe 0.5 ikisha funga goli likitokea utaona wanaweka tiki. Sasa je na hi kama umechagua 1:0 goli likifungwa wanaweka tiki? Au wanasubili match iishe?
Sijaelewa vizuri swali lako mkuu
Una maanisha nini?

0.5 hii ni Under na Over

1 - 0 hii ni correct score

Unaulizia Under na Over
Au
Unaulizia Corect score during the Match ?
 
Sijaelewa vizuri swali lako mkuu
Una maanisha nini?

0.5 hii ni Under na Over

1 - 0 hii ni correct score

Unaulizia Under na Over
Au
Unaulizia Corect score during the Match ?
Kwamba kwenye hili chaguo la over 0.5 ikitokea goli moja tu kwakuwa umechagua hivyo utaona wanakuwekea tiki. Sasa je na yale machaguo ya 0:1 au 1:0 inapotokea hivyo unawekewa tiki? Au wanasubili match iishe?
 
Kwamba huamini Kona kutoa draw,,,,, jamaa alihusika kwenye hilo 🀣🀣🀣
Jamaa yeye ndo katuma codes humu alafu anasema tukutane kesho bila hata maelezo mengine...

Alaf kesho yake anakuja kusema mara kona zimetoka droo sijui
 
Kwamba kwenye hili chaguo la over 0.5 ikitokea goli moja tu kwakuwa umechagua hivyo utaona wanakuwekea tiki. Sasa je na yale machaguo ya 0:1 au 1:0 inapotokea hivyo unawekewa tiki? Au wanasubili match iishe?
Unawekewa tiki pale pale mkuu
 
Nimecheza match 7 toka mwanzo timu 3 zilishapata goli na hakuna tiki wala cash out. Ila mwishoni kaja kuchafua timu moja kapata goli ambae sikumpa aanze duuuuh!
Mkuu hizo timu tatu ambazo hazikuwekewa tiki ulichagua option gani?
Unaweza kuweka screenshot?

Inawezekana ikawa hatujaelewana

Cha umuhimu sio wakati gani tiki itawekwa
Muhimu ni tiki ni LAZIMA itawekwa hata kama ni baada ya game kuisha
 
MKuu mimi sijui lolote lile kuhusu betting huwez amini, hata hii niliweka tu baada ya kutaka kujua hii kitu huwa inafanyaje kazi.
Sasa itabid unipe shule nikuelewe maana ya hayo machaguo nakadhalika kama hutojal
Yaan hujui betting afu ukastake hela yote hiyo 20,000

Haya hao m-bet wana machaguo machache afu kulipa hela kama mechi zinaisha usiku malipo ni mpaka kesho yake saa 4 ila kampuni zingine malipo yake ni pale pale,kuna watu huwa tunatengeneza mkeka tukiwa bar unawin na unadraw muda huo huo unalipa hela ya watu

Machaguo ya m-bet yapo yapo kama 11 ambayo ni NORMAL,DOUBLE CHANCE,ODD EVEN GOALS,OVER,HANDCAP YA 1+,nk

Lakin kampuni zingine kama sportybet mechi moja unakuta ina machaguo mpaka 100 na kitu,yaan kuna NORMAL,DOUBLE CHANCE,ODD EVEN GOALS,OVER,HANDCAP za kutosha,CORNER, bado wana combine machaguo mfano over na double chance

Lakin hiz kampuni zenye machaguo mengi zina mashetani makali sana huku kupoteza mkeka ni kawaida
 
Mkuu hizo timu tatu ambazo juu hazikuwekewa tiki ulichagua option gani?
Unaweza kuweka screenshot?

Inawezekana ikawa hatujaelewana

Cha umuhimu sio wakati gani tiki itawekwa
Muhimu ni tiki ni LAZIMA itawekwa hata kama ni baada ya game kuisha
Okay ngoja tuone
 
Attachments

  • 20241213202547.mp4
    10.3 MB
  • Screenshot_20241213-202608.png
    126.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…