Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
HongeraHizi odds 143 zilitiki alhamisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraHizi odds 143 zilitiki alhamisi
Ila Mbet waduanzi, sema wana wateja wao hasa walioanza nao na ambao hawana mambo mengi, mie nilikuwa nawatumia zamaniYaan hujui betting afu ukastake hela yote hiyo 20,000
Haya hao m-bet wana machaguo machache afu kulipa hela kama mechi zinaisha usiku malipo ni mpaka kesho yake saa 4 ila kampuni zingine malipo yake ni pale pale,kuna watu huwa tunatengeneza mkeka tukiwa bar unawin na unadraw muda huo huo unalipa hela ya watu
Machaguo ya m-bet yapo yapo kama 11 ambayo ni NORMAL,DOUBLE CHANCE,ODD EVEN GOALS,OVER,HANDCAP YA 1+,nk
Lakin kampuni zingine kama sportybet mechi moja unakuta ina machaguo mpaka 100 na kitu,yaan kuna NORMAL,DOUBLE CHANCE,ODD EVEN GOALS,OVER,HANDCAP za kutosha,CORNER, bado wana combine machaguo mfano over na double chance
Lakin hiz kampuni zenye machaguo mengi zina mashetani makali sana huku kupoteza mkeka ni kawaida
Draw watu wanabet kama kuna mtaji wa kutosha hata ukikosa usilie, tena hapo umempiga kanji ndo unajifanya kucheza draw lakini sio hivi hivi (mie sana sana draw nikicheza huwa first halfHuyu itakua alidanganywa ni fixed games mimi sijawai kubet draw wala sitawai
ROUND 2 🙏ROUND ONE ✅
🙏
Get ready for Round 2
Ipo Tangu juzi MdauMbona sportybet hawajaiweka hiyo match kuna nini
Telegram X playstorejamani watumiaji wa Airtel mnatumia vpn gani kufungua Telegram? kwangu hakuna kitu
cc engineer Chief-Mkwawa
@mwl_rct
Download Thunder Vpn toka playstorejamani watumiaji wa Airtel mnatumia vpn gani kufungua Telegram? kwangu hakuna kitu
cc engineer Chief-Mkwawa
@mwl_rct
nhahahaahah.....doohDownload Thunder Vpn toka playstore
Ama
Download Tor Browser, hii ni browser kama ilivyo Chrome, Opera,Phoenix browser na nyinginezo lakini Ni POWERFUL BROWSER! (Road to dark web).... hii iko na vpn ndani yake,
ukiwa unatumia Tor browser huhitaji kuwa na Vpn yoyote, Site zote zilizofungiwa Tanzania na duniani kote hapa unazipata wazi kabisa kama kinyeo cha ngiri!
Mimi labda 10 minutesDraw watu wanabet kama kuna mtaji wa kutosha hata ukikosa usilie, tena hapo umempiga kanji ndo unajifanya kucheza draw lakini sio hivi hivi (mie sana sana draw nikicheza huwa first half
Usijiumize kichwaMechi ya yanga na mazembe option ipi uhakika? Mechi imekaa kimtego sana
Kwajinsi msimamo wa kundi lao lilivyo Yanga na Mazembe hawana plan nyingine zaidi ya USHINDIMechi ya yanga na mazembe option ipi uhakika? Mechi imekaa kimtego sana