Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii ngumu kumeza wanangu!
Weka mbali na watoto, too risk, invest what you can afford to loose.
Legs: 10
Odds 40+
Code:08703F6
On sportybet!
Pata mikeka zaidi jiunge na group la betting intelligence link hii
 
Draw/Away&1.5 over ili soko kwa nilivyoelewa Ni kwamba atoke draw 1-1 au Away 0-2 and over hiyo, mnirekebishe wadau
 
Daaaa😭😭 the house always win leo nimepigwa sitasahau hii siku.! Kanji ana mauza uza leo ndo nimeamini kabisa! Leo mwisho kustake high nimekomaaaaa
Penda kucheza magoli over 1.5 kwa match nzima japo pia huzingua (kama arsenal leo) muda mwingine ila risk ni ndogo.

Kuliko kuzipa team ushindi.
 
Mshaanza na hayo makampuni yenu, weka screenshot ya teams umechagua kila mtu abetie kampun yske
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…